Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Sikuwahi kufikiria kuna siku hospitali zetu zitakosa sindano muhimu kama hii ya tetenas teba haoa Dar. na wizara ya afya ikakaa kinya bila hata kutoa tamko au kutujulisha wananchi juu ya uhaba...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Je, una mtoto mwenye tabia zifuatazo; *Mtundu kupita kiasi? *bado hawezi kuongea ingawa umri wake inatakiwa aongee? *hulia ama hucheka bila sababu? *Anachakua sana chakula kupita kiasi? *je...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Juzi ulisema madaktari wanafanya biashara na MRI kwa kuwaelekeza wagonjwa kwenda kwenye hospitali binafis. Bado mchezo huo unaendelea. Leo wagonjwa bado wanaelekezwa huko kwa watu binafi. Chukua...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Naomba mwenye kufahamu mtoto huchukua muda gani kukatika kitovu? Je. Kama kikichukua muda mrefu zaidi hata wiki tatu kuna madhala? Au haina shida?
0 Reactions
11 Replies
29K Views
Naamini almighty amewapa afya, na wale wauguao mungu awaponye! Niende kwenye shida yangu straight, Ni week ss sijakutana namwanamke ila kuna mabadiliko yanantisha kidogo hasa niendapo haja ndogo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu Zangu Naombeni Ushauri Nikichuchumaa Wakati Wa Kujisaidia Nashindwa Kusimama Miguu Inauma Sana Kila Siku.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hizi Bisi Ni Maarufu Sana Manjiani Na Kwenye Kumbi Za Sinema. Nauliza Hivi Maana Kama Mahindi Ya Kawaida Leo Yamekuwa Hatari Katika Kutengeneza Unga Wa Dona Kutokana Na Kuvu, Hizi Bisi Hazina...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama unatatizo tajwa hapo juu jipatie dawa asilia ambayo haina madhara.tatizo lisipo isha hela yako inaludishwa. Karbu 0683109166
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wakuu habari, nahitaji kuonana Na dr bingwa wa wanawake kuhusu mambo ya uzazi, mwenye kujua wapi anapatikana au hospital gani tafadhalini msaada kwenu
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Nafuu ntaipataje!?? Mi mwanafunzi, nmetumia dawa nyingi na ninafuata lishe na masharti yote ila bado tumbo linasumbua saa 24!
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Tatizo limeanza 2006 4m4 2008 zilitolewa lenzi na kuwekwa za vioo na kupewa miwani kila baada ya miezi kadhaa naandikiwa namba ya lenzi kubwa kwa maana ya uono hafifu pia maji yamepungu jichoni...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habarini wakuu. Tumaini langu wote ni wazima. Kuna jamaa angu anasumbuliwa na figo...amekuwa akivimba mwili mara kwa mara, hospitali alichek akaambiwa ana tatizo la figo lakini hakupewa dawa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kila nikisex na gals baada ya tendo analalamika tumbo linauma, sasa nashindwaga kuelewa sijui kudo vizuri au nina machine kubwa kiasi kwamba nagusa pasipo ila mimi machine yangu ya kawaida sana...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
With the scourge of HIV/AIDS continuing to plague mankind, the 21st International AIDS Conference saw the participation of thousands of attendees from different walks of life in order to pursue...
0 Reactions
51 Replies
3K Views
Naomba nijulishwe huu ugonjwa unasababishwa na nini,dalili zake na tiba yake ni ipi?
0 Reactions
6 Replies
29K Views
Habari Ndugu zangu, Naomba mnisaidie nifanye nini niweze kudumu angalau kwa mda mrefu zaidi katika tendo la ndoa na mke wangu, maana yani nikienda round moja tu ya dakika moja au mbili tayari...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Asallam aleykum, ndugu zangu.. Mimi nina tatizo, na tatizo hili lanamsibu Mke wangu, Mkewangu kila apatapo ujauzito ifikapo miezi mitatu na kuendelea huwa anatokwa na damu puani, leo hii pia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za weekend wana JF wenzangu, Kama nilivyoandika kichwa cha habari hapo juu mke wangu ambae ni mke wangu mtarajiwa huwa anapata mamumivu makali sana kila baada ya kufanya mapenzi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama kuna mtu anaijua basi aiseme
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Back
Top Bottom