Habari za mchana, Nina tabia ya kugugumia Maji lita moja na nusu kwa mkupuo na Hapo nakuwa nimemaliza hadi wakati wa Kulala ndio nakunywa tenants. Je Tabia hii ya kugugumia kiasi hicho cha Maji ni...
Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana mwezi wa 11, nikaenda hospitali nikachomwa ceftri 5 hazikusaidia hata kidogo, nikaenda kwa dr mwingine akanipa tetrac na metro tatizo likakata kwa wiki...
Habari wakuu ndani ya JF,
Nina mpenzi wangu sijajua anatatzo gani? Tunataka tuwe na mtoto tatizo ikifika siku za uhakika za kushika mimba tunasex alafu baada ya siku tatu au nne tukijua mimba...
Ndugu wana jamvi,ninaomba kujuzwa dawa ya kumaliza tatizo hili.Nimekwisha tumia dawa mbalimbali lakini tatizo bado lipo palepale.Naomba anaye fahamu please anisaidie.
Je mafuta ya Cod liver maarufu kama SevenSeas yanafaa kuwapa watoto wa chini ya miezi sita? Naomba mwenye uzoefu nayo....faida na hasara zake.....na dozi sahihi....asanteni!
Wana JamiiForums,
Nilikuwa nauliza swali moja,
Mimi niko kwenye mahusiano kwa kipindi kuna changamoto niliyokutana nayo hivi karibuni nilikuwa na mpenzi wangu katika hali ya kutaka kufanya tendo...
Naombeni ushauri wife ana mimba ya miezi 6 sasa katoka clinic ananiambia docta kuangalia kaona mimba ipo kwa juu upande sasa hii imenipa wasiwasi sana je tatizo gani linaweza kutokea na...
Nawasalimu Wanabodi Wote Humu.
Ningependa Ikiwa Kuna Mtu Yoyote Anayejua Haya Matunda Hapa Nchini Yanalimwa Wapi Na Faida Zake ?
Nilisikia Baadhi Ya Watu Wanasema Yanasaidia Kusafisha Kidole...
Habari wanajamvi..
Utafiti uliofanywa na Dk Brian unaonyesha kuwa uvaaji wa chupi au boxer wakati wa kulala ni hatari kiafya kwa watu wote.
Baadhi ya madhara hayo ni Ugumba na maambukizi ya...
Habarini wanajamvi,
Naomba kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu ugonjwa wa TAMBAZI ambao dalili zake ni maumivu ya ndani kwa ndani, kwenye mikono au miguu.
Ahsante.
Habari zenu
Kama kichwa cha habari kisemavyo nipo nae Kwa takriban miaka minne sasa na kipindi chote tukikutana 100% tulikuwa tunaridhishana, lakini kwenye hizi siku za usoni kama miezi miwili...
KISUKARI NAMNA YA KU-CONTROL SUGAR
Hutokea mara moja moja kuamka sukari iko juu(8-10) nina 55yrs
Aidha kwa sbb zisizoeleweka(Malaria) au kubadilika muda wa kula au chakula hasa matunda/juice...
Wandugu habari zenu,
Wakuu naombeni yeyote ambaye anafahamu/ ama alisha wahikutumia dawa za kimasai za kukuza maumbile ya kiume jamani anisaidie na mimi nipate, nina tatizo la maumbile madogo...
Wakuu habari zenu
Nisiwachoshe sana, ni kwamba mke wangu kila anaposhika ujauzito naumwa sana kiuno na hali hiyo itaendelea hadi atakopojifungua nakuwa mzima kabisaa hata chembe ya maumivu, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.