Naomba kujua kama kuna watu hushauriwa na madaktari wasipande ndege mara kwa mara au kusafiri na flight za masafa marefu bila kutua na kupumzika kwa muda(non-stop flight).
Kwa yoyote aliepanda...
Aman ya Muumba wa mbingu na nchi iwe nanyi wadau.
Nina shida kidogo ningependa kushea nanyi ili mnipatie ushauri na pengine kutatua tatizo hili.
Nina mke wangu ana ujauzito wa miezi 4 kwa sasa...
Ilianzia mwishoni mwa karne ya 19 kulikuwa na misemo mingi ya wanasayansi na madaktari juu ya antibacteria unyevu na ukungu ikiwemo penicillin ukungu, lakini hawakuwa wamegundua njia ya uhakika au...
Habari zenu wakuu.
Wakuu ni kwamba takribani mwaka mmoja tatizo la macho yangu kupoteza mwelekeo wa utendaji kazi na kusababisha nianze kuona kama kuna giza au ukungu vile wakati ni mchana. Hiyo...
Tezi Dume ( Prostate gland )
Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume . Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu . Tezi hii...
Doctor naomba msaada juu ya tatizo la macho kutokuona vizuri kwa mda kama wa dakika kumi halafu baada yahapo kichwa huanza kuuma sana. Kwangu mimi limenichanganya hivyo naomba msaada wenu madaktari.
Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio...
Habar wanajamvi...
Nina mtoto wa dada yangu wa kike anatimiza miaka nane mwezi wa kumi na moja, lakini ni mwembamba na utadhani ana miaka sita.
Mara nyingi anasema maziwa yana muuma yakiguswa...
Habari zenu wanaJF.
Naombeni msaada wenu jamani, Matiti yangu yamekuwa makubwa kuliko kawaida yake, lakini hayana maumivu yeyote, na pua zangu zinanusa vitu kwa haraka sana kuliko kawaida...
Hello JF MMU members?
Jamani nahisi nina tatizo la kisaikolojia linanisumbua na ninaomba kushauriwa nini cha kufanya wakuu siku za hivi karibuni nimejikuta kwanza napenda kukaa mwenyewe mwenyewe...
Ndungu wana JF,
Hivi tatizo la uume kusimama kila wakati ni nini? Maana hali imekuwa ya kudumu pia huwa napata shida hususani pale inaposimama nikiwa class or kwenye mkusanyiko tatizo ni nini doctor?
MODDS nawaomba msihamishe hii post kwa FAIDA yetu sote:
Watu wengi Tanzania wanakuwa Vibogoyo au nusu vibogoyo kwa kupoteza meno yao kwa kuyang'oa kutokana na maumivu makali waliyoyapata.
SWALI...
Habari,
Mi na mke wangu tumezaa mtoto mmoja wa kike, ana umri wa miaka minne na nusu sasa. Tuliamua kuzaa tena, tukaanza kama mara tatu hivi wife alionekana kama mjamzito ila baada ya wiki...
Wengi wetu twadhani kwamba mtu anapopga Mwayo(Yawn) ni dalili za Uchovu, Njaa au kukereka.
La Hasha! wataalamu wanakwambia tunapopgia Mwayo Tunapooza Ubongo(Cool down our Brain System) Na ivyo...
Katika hatua zote za makuzi ya binadamu wa kawaida, kuna mabadiliko ya kimwili ambayo hutokea tangu utotoni mpaka uzeeni. Ni mabadiliko ya urefu na uzito.
Na katika kila hatua, uwiano uliopo kati...
Ndugu Zangu.
Zingatia kichwa hapo juu. Nina mgonjwa wa mguu kwa muda sasa na tumejaribu matibabu mengi sana bila nafuu.
Wiki kadhaa nyuma akapata mtu alie na vidonge vya dawa tajwa hapo juu. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.