Habari wanajamvi
Nchi yetu ni miongoni mwa mataifa yenye huduma mbovu za afya kupindukia
Nasema mbovu kupindukia kwa sababu nimekaa katika field hii kwa muda ingawa sio sana na kwa namna fulan...
Anaandika Dr.Chriss Cyrilo (Daktari wa binadamu).
_____________________________________________
UFAHAMU UGONJWA WA "NARCISSISTIC PERSONALITY DISORDER".
By Dr.Christopher Cyrilo (MD)
Umewahi...
Naombeni msadaa,
Jogoo wangu anapinda kwenye shina na anakuwa kikwazo kwenye mahusiano kwani akiingia mpenzi wangu anasema anamuumiza.
Je, nifanyeje wakuu ili anyokee,kwani dada wengi...
Fat from avocados could combat acute myeloid leukaemia, AML
Fat targets leukaemia stem cells and stops them growing abnormally
Researchers say it could prolong life of leukaemia sufferers
AML...
Wakuu,wataalamu wa afya,kama nilivyoandika hapo juu,mke wangu ni mjamzito,lakini ana tatizo limejitokeza leo mara ya pili,mwezi uliopita ujauzito wake ulikuwa na miezi mitatu.
kuna siku zilimtoka...
Kama ukifanya mapenzi bila kutumia kinga zaidi ya mara sita, ukaja hisi ulie sex nae ana virusi vya ukimwi, halafu ukae mwezi ukapime.
Je kipimo kinaweza onesha kama umeathirika?
Habari zenu wataalamu wa JF
Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila...
Habar, naomben msaada wenu kwanini wakati nafanya jogging huwa napatwa na vichomi sehemu ya tumbo upande wa kulia au kushoto na kwenye kifua upande wa kulia tatizo ni nini???
Date:
August 3, 2016
Source:
Monash University
New research has taken us a step closer to finding a cure for human immunodeficiency virus (HIV), as well as other infections including the...
Ndugu JF jeraha langu lina siku 3 toka pamewekwa dawa na bandage, doctor aliniambia ndani ya siku 3 niitoe nilipo niko mbali na hospital na bandage imeshika imekauka kwenye kidonda, je nitumie...
Salaam kwa wana JF. Hivi mwanamke akijifungua kwa operasheni anatakiwa aanze kukutana na mwenza baada ya muda gani ( yaani kufanya tendo la ndoa) bila kupata matatizo?
Ndani ya wiki hii iliyoishia jana tarehe 17 /07 /2016 Hospital yetu ya taifa ya Muhimbili kitengo cha Moyo cha Jakaya Kikwete kilimfanyia upasuaji wa moyo mtoto wa miaka Mitano kwa kumuwekea kifaa...
HIV Infection Linked to Injection Use of Oxymorphone in Indiana, 2014–2015
Philip J. Peters, M.D., Pamela Pontones, M.A., Karen W. Hoover, M.D., M.P.H., Monita R. Patel, Ph.D., M.P.H., Romeo R...
Tafadhalin naomba wanijibu wataalamu tu! Mimi nilikuwa napenda kufanya mazoezi gym kwa mda ila kutokana na shuguli za huku na kule nimeacha kwa mda baada ya kuacha siku hiz mwil wangu umekuwa...
Even when their virus is fully suppressed by antiretroviral (ARV) treatment, HIV-positive people may have defective HIV DNA in their cells that can give rise to HIV-related proteins. These...
Surua ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza yanayotisha kwa binadamu. Huu ni ugonjwa ulio na kiwango cha juu cha karibu asilimia 100 cha mashambulizi pindi mtu apatapo vimelea vya ugonjwa huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.