Kuna mada niliiweka hapa siku kadhaa zimepita, nilihoji ni kwanini punde tu mtu akianza mapenzi huwa anabadilika?
1. Kwa nini mwanaume rijali kabisa ikitokea kwa bahati mbaya au kwa kutaka yeye...
Wana jamvi amani iwe kwenu na watanzania kwa jumla.
Mwanangu ana umri wa miaka 3 na mienzi 4 anatatizo la kua hataki/hapendi kula. Nimejaribiu hospitali amemaliza dozi lakini bado, nahitaji kama...
Morning!
Eti kuna centre ama hospital yoyote private hapa Dar inayoshughulika na tiba ya watu wenye matatizo ya akili especially wale walioathirika na uvutaji wa bhangi?Zaidi ya Muhimbili na...
Madaktari mnaopatikana hapa mnisaidie,mwaka huu nilipata mpenzi ambaye tupo naye kwenye mahusiano,lakini mpenzi wangu alikuwa na matatizo ya kifua anapohema hutoa milio au kama mtu anayepiga...
Habari ndugu zangu? naombeni ushauri, namiaka 30 ni mama wa mtoto mmoja wa miaka nane nilijifungua vizuri, ila tatizo limeanza mimba zinazofata ikifika miezi saba nablid ghafla bila maumivu...
Habari
Kuna hali imenianza muda si mrefu sana na inatokana na kutokea kwa vipele vidogo vidogo viiiiingi..hali hii inasababishwa na nini na inaondokanaje..msaada tafadhali
Ni mwaka wa 18 naumwa tumbo linanikata na kuunguruma.Mara naharisha mara inakata.Hadi muhimbili nimefika.Dawa nimetumia nyingi hadi chumba changu kinaitwa minipharmacy.Kwa anayejua mitishamba...
Habari za jioni wakuu, Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 18, tatzo langu ni Kuwa Nina uzito pungufu na pia mwili Wangu ni mdogo kulinganisha na vijana wengine wa umri Wang. Nina kg 45 na...
Kama kichwa habari hapo juu kinavyoeleza. Ni kuhusu ankles. Mimi ni kijana ambaye nachezaga mpira sana kama njia ya kuweka mwili fiti.
But miaka kama 3 _nyuma nilianza kuwa na maumivu ya enka...
Kwa siku za hivi karibuni imekua desturi kwamba ili nipate usingizi usiku lazima nimgegede mama watoto.
Tofauti na siku za nyuma kwamba naweza kaa hata siku mbili bila ya kumgegeda mama watoto...
Habarini,
Nahitaji kujua kama kuna mtu ana uelewa zaidi au experience ya ni muda gani ukitoa An intrauterine device (IUD au coil) au wengine wanaita loop, unaweza kupata ujauzito.
Niliweka IUD...
Habar wana jf,mm ni mwanamke
Shda yang n kwamba naitaj kujua kama kuna uwezekano wa kushka mimba na wakat napima kwa kile kipimo lakn majbu ni negative,
Kinacho nichanganya ni kwamba miez ya...
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, Tatizo langu nina MB ndogo ninavyojua mimi, Mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikoloji maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale nnapokubaliwa na...
habari zenu ndugu zangu! naombeni ushauri juu ya uzazi wangu huu...ni msichana mwenye umri wa miaka 28..nlibeba ujauzito hatimae nkajifungua kwa njia ya kawaida mtoto alkuwa na kilo 4.1..alikuwa...
Habarini wana jf.Nina gf wangu ambaye siku ya kwanza kukutana nae,alitoa damu mpaka kulowanisha shuka,nikadhani kawaida cha kushangaza siku ya pili iyo hali ikajirudia.Hili litakuwa tatizo gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.