Wakuu,
Naomba mchango na mawazo yenu. Nina ndugu yangu mzee kidogo anasumbuliwa na maumivu chini ya kitovu. Wako wanasema ni ngiri lakini sio huwa inajitokeza mara nyingi akiwa kwenye sehemu ya...
Habari zenu wana JF...
Mpenzi wangu anasumbuliwa na maumivu makali wakati wa hedhi...
Yaani akiingia kwa hedhi hatulali,napata shida sana katika hili...
Pia tatizo lingine ni kwamba anatoa damu...
Habari za mida hii wadau, mimi nashangazwa na jambo moja kila ninapoenda naliona jambo hili hivi VICHAA (wagonjwa wa akili) kwanini wanapapenda sana mjini kuna uhusiano gani hapo ...... Niliona...
Utafiti umebaini kuwa wanawake ambao wametolewa kidole tumbo ama 'appendix' au kutolewa kifindofindo au kifuko ama ''Tonsils'' kwa njia ya upasuaji wanapata uwezo mkubwa zaidi wa kushika mimba...
Habari wana JF Doctor.
Katika pita pita zangu nimekutana na hiyo mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Inaelezewa kua kunyonywa uume wakati wa tendo la ndoa usababisha upungufu wa nguvu za...
Hellow wanaJF!
Natumaini mmeamka salama na mnaendelea na majukumu kama kawaida.
Ni muda sasa nimekua nikifuatilia hili bila kufahamu, naomba mwenye kujua anijuze. Watoto wadogo kila wanapotaka...
Buried penis is a congenital anomaly in which the penis is normal in size but appears to be small (i.e., the external genitalia appear small). Parents of patients with this anomaly or patients...
Nimeoa sasa miezi saba nimekaribia muda wote huo nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu ila hashiki mimba anaingia mwenzini kila mwezi.
Naomba msaada wa haraka je mke wangu anaeza kuwa na...
Naomba kuuliza GT mlioko humu.
1. Kwa nini mwanaume rijali kabisa ikitokea kwa bahati mbaya au kwa kutaka yeye aingiliwe kinyume- hata awe baunsa vipi lakini punde tu akimwagiwa "sperm" akili...
Habari wadau, Twendeni Dodoma tukaijenge nchi.
Turudi kwa mada, Kuhusu huu ugonjwa wa Pelvic Inflammatory disease (PID). Kwa mara ya kwanza mke wangu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kutoa ute...
WAUNGWANA KWA MOYO MKUNJUFU NAOMBA MNIPE DAWA YA MACHO YANAYOPOTEZA NURU. HAYAONI MBALI HASA WAKATI WA JUA KALI AU MWANGA MKALI. NAJUA NDANI YA JF KUNA WATAALAMU WA FANI ZOTE TENA WALIOBOBEA...
Habari wataalamu wote humu ndani.
Mke wangu anasumbuliwa sana na tatizo tajwa hapo juu. Moyo wake umejaa maji ambayo kwa mara ya kwanza yalitolewa kwa mpira na yalikuwa mengi sana ila baada ya...
Wapendwa polen na majukumu,
Naomba msaada wa kitabibu zaidi lakini pia uzoefu wenu katika hili.
Nina dada yangu miaka mitatu iliyopita alijifungua kwa operation (kwa kisu), maelekezo ya dactari...
Ndugu zangu heshima kwenu,
Nimejitokeza kuulizia hili kwa sababu sina ufahamu nalo kidogo binafsi nina mpenzi wangu ambae tumekuliana tupate mtoto lakini shida inakuja kua mimi nashindwa kujua...
Habari wanajamvi!
Naomba ushauri,nimejiuliza muda mrefu sana na Leo nimeamua kupiga moyo konde kuuliza ili kupata ushauri utakao nipa ahueni ya maisha...
Umri wangu unaanzia na namba3, utata huu...
Vifuatavyo ni vyakula 6 vinavyozeesha ngozi na unashauriwa kuvitoa katika mlo wako:
1. Chumvi
Chumvi hasa yenye madini ya iodine ni mbaya sana kwa afya ya ngozi. Inasababisha chembechembe za...
Habari wana JF,
Nasumbuliwa na hilo tatizo kwenye mfupa wa paja (femur) kwa miaka 15 sasa na mara zote nikienda hospital baada ya vipimo napewa antibiotics tu ambazo kwa kiasi fulani zimekuwa...
Jamani ninashida ya kutopata usingizi kidole changu kimeingiliwa na mdudu nimeenda hospitali nimeandikiwa sindano tano hivi ni sindano ya nne Ila kama ndio nimekichokoza kinazidi kuongeza miumivu...
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanaume na wanawake.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.