Kuna siku nikiwa kwenye sita kwa sita na mke wangu gafla nikawa kama nime teguka karibu na haja kubwa nikiwa na ejaculate hapo nikahisi maumivu ila baadae yakapotea nikaendelea na gemu kama...
ziko sababu nyingi zinazoweza kusababisha hali hii ya kutokea kwenye kinywa, lakini chanzo chake kikubwa ni maradhi yanayosababishwa na fangasi.
Maradhi ya fangasi ya kinywa huweza kuathiri koo...
Kitaalamu/Anatomically moyo wa mwanadamu unatakiwa uwe upande wa kushoto wa kifua. Dextrocardia ni hali ya moyo wa mwanadamu kuwa upande wa kulia wa kifua.
Ndio maana inashauriwa baada ya mama...
Habari wana JF
Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto). Kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili, pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama matokeo...
IDADI ya watu duniani inakadiriwa kuwa bilioni 7, kutoka bilioni 2.5 mnamo mwaka 1950. Ukuaji wa haraka wa idadi ya watu umeathiri usambaaji wa magonjwa kwa njia zifuatazo:
1. Msongamano na...
Habari, wanajamvi
Naomba msaada mpaka sasa bado mwenzenu sijabahatika kupata mtoto.
Swali langu ni; Je, nikishaanza kutoa mbegu(kupiz) huwa haziruki zinatoka kama vile unamimina maji kutoka...
Naamini mu wazima,
Naomba msaada wa kujua dawa ya Utango tango mwilini,nina ndugu zangu wameathirika sana na huo ugonjwa unaofanana na mapunye,wametumia dawa mbalimbali lakini bado shida ipo...
Natumai mko poa,kuna hili tatizo nilikuwa nakutana nalo sana kipindi cha nyuma yaani nipo na demu namtongoza lakini cha kushangaza huyu jamaa huku down kesha simama kidedea hii ikoje wadau ???
Kama kichwa cha habari kinavyosema... Kwa yeyote mwenye dawa ya pumu au asthma tafadhali.... Ile ya karaafuu imejaribiwa haijasaidia... So mwenye altenative
habari zenu wadau nina ndugu yangu mwanamke anaumwa seheme ya tumbo iliyo chini ya ubavu wa kulia halafu anasema na mguu wa kulia unamuuma je ugonjwa gani?
Jamani wataalamu nawaombeni msaada mke wa ndugu yangu (shemeji) yuko na mimba mwezi wa 3 tena unakaribia cha kushangaza baazi ya siku anakua anatoka damu hasa asubuhi akiamka ila anakua haioni...
Ushauri tafadhali,
Mwanamke kutokwa na damu tumbo kuuma wakati ana mimba ya miezi miwili ni dalili ya mimba kutoka au jambo la kawaida?
Nini kinasabisha na solution ni nini? Naombeni majibu...
Tumeshajua nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama, hatua za kusimama kwa uume, pamoja na mambo yanayo fanya uume uweze kusimama na kuwa na uwezo wa kuendelea...
habari za LEO jamani, mimi ni kijana wa kiume ninasumbuliwa na uti, Mara kwa Mara mwili Wangu unachemka na kupata homa. baada ya kupima daktari aliniambia Nina fangasi wa njia ya mkojo ambao ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.