Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zene wakuu, nmeona ni vyema watu wa dawa tujuzane na kubadilishana mawazo kupitia Thread hii. Natanguliza shukran zangu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda saana,sababu mm ndiyo niliyemtoa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari yenu humu ndani? Nina mtoto wa kike ana umri wa mwaka mmoja na miezi minne, sasa week iliyopita alikaa siku tatu bila kupata aja kubwa lakini ilifika wakati anasikia kupata aja na aja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Jf doctors! Ni wiki sasa jogoo (uume) wangu haujawahi kusimama , iwe asubuhi au usiku jamaa kalala ,, sijui sababu gani? najitahid kunywa Maji mengi na kufanya mazoez kila siku Ila jamaa...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Maziwa ya mama yanafaida nyingi sana kwa mtoto anyonyae mfano yanamkinga na Maradhi mbalimbali kwani yana virutubisho vinavyompa mpa kinga mtoto(Immunity),yana joto linalotakiwa na mtoto,ni rahisi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana Jamii Forums hamjambo. Ni sababu zipi zinasababisha mtu kuwa na makengeza asilia? (Hapa siongelei makengeza ya ajali za ukubwani). Nimekuwa nikifuatilia na nimegundua watu wengi wenye...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Hivi Kuna uhusiano gani kati ya kutoa mimba na kuwa na maji ukeni? Rafiki yangu amekata tamaa ya maisha anahitaji msaada, anadai kabla hajatoa ujauzito alikuwa anashiriki tendo Bila shida yeyote...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Hi! Naombeni msaada nikicheka sana yaani baada ya jambo fulani la kufurahisha naona giza na baada ya hapo napoteza fahamu kwa muda kama dakika mbili imewahi kunitokea mara ya tatu sasa Hii ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni Msaada, Mke wangu alitumia hivi vidonge vya uzazi wa mpango, baadaye akaamua kuachana navyo baada ya kusikia kuwa vina madhara yake pia. Sasa changamoto imekuja kwenye mzunguko wa hedhi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kumekucha! Naombeni ushauri wenu yaani saa hivi kila asubuhi nikiamka napiga chafya sana!!!vipi wakuu huu ni ugonjwa niwahi aghakhan au!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu? Naombeni ushauri juu ya kupatwa na majipu ambapo sasa ni mara ya tatu ninapatwa na majipu kwa muda tofauti. Hapo kabla sikuwahi sumbuliwa na majipu. Lakini sasa ni mara...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni ushauri wa jinsi ya kufanya macho yangu yawe meupe
1 Reactions
14 Replies
13K Views
.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Jamani naomba msaada wa kisayansi nijue ukweli. Niko chuo na marafiki zangu tukisimuliana about sex utasikia jamaa anasema nimemla manzi mpaka kapiga bao likatoka kabisa nje zito tena jeupe mpaka...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Nikimalizaga goli la kwanza kibamia kinakuwa legelege sana. Mtalimbo unalala doro hadi naona aibu mbele ya mkunwaji. Nahisi ni kutokana na kupiga puli kwa muda mrefu. Nifanyeje jamani.
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Wadau naomba kujuzwa namna ya kutumia hivi vidonge kwa mwanamke mwenye kusaka mtoto vinatumiwa wakati gani? Kwa maana ya wakati wa period ,baada ya period tu, au akiwa akiwa kwenye siku za hatari...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Max Pemberton There is now a deadly virus, which anyone can catch from sex with an infected person. If we’re not careful, the people who’ve died so far, will be just the tip of the iceberg… If...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo? Karibuni!!!!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Dawa inaitwa (SILDE NAFIL 50Mg) wapi naweza kuipata? na gharama yake itakuwa shilingi ngapi? Nahitajj haraka
0 Reactions
25 Replies
2K Views
HUTCH NEWS Timothy Ray Brown: the accidental AIDS icon The ‘Berlin patient’ didn’t ask to be cured of HIV; now he wants a cure for all Feb. 20, 2015 | By Mary Engel / Fred Hutch News Service...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Back
Top Bottom