Habarini ndugu zangu,
Nina imani hapa nitaweza kupata majibu ya kuridhisha.
Hivi mwanamke anapokuwa na mimba ni miezi mingapi ambayo itachukuwa mpaka kuanza kuonekana machoni mwa watu. (hapa...
Hello wana Forum,
Ni imani yangu kwamba baadhi humu mnautambua ugonjwa huo tajwa. Sasa mimi nina ndugu yangu wa karibu ambaye anasumbuliwa na kichwa ambacho kila nikitafakari nazidi kupata hisia...
Mwezi wa 8 mwaka huu 2016 ulikuwa mwezi ambao watu wengi niliwaona wakifanya mazoezi ya miili yao kwa ajili ya kujenga afya zao kuliko kawaida tuwaonavyo siku zote, lakini ninashangaa mwezi huu wa...
Je kitendo cha kukaza kwa misuli ya mguu hua mara nyingi inawapata wachezaji wa mpira wa miguu kinaitwaje kisayansi na kinasababishwa nanini?????? Naombeni mnisaidie wana JF
Mwezi wa 6, nliweka uzi kwamba nlitembea na dem mwenye ukimwi tarehe 15-06-2016 nlipiga kavu mara3 mfululizo nkashtuliwa kesho yake kwama demu kaathirika fasta nkamfata nkamwambia twende tukachek...
Nilipata matatizo kama miezi 6 iliyopita stress zote nikazihamisha kwenye chakula. Nimeongezeka uzito na mwili ambao kuupata kwa muda mrefu gym unaanza kupotea, nimepata likizo nataka kufanya a...
Habarini ndugu zangu wa humu! natumaini wote humu ni wazima wa afya. wataalamu mimi nataka nirefushe mdudu wangu ikiwezekana ufikie INCH 6 na unene unaotosha kwa matumizi yale. mimi nnao wa...
Kuna kautafiti kamefanywa eti wanawake wanapenda sana kuhudumiwa na madaktari wanaume sababu ni wapole na wanawajali. Je wadada/wanawake hii ni kweli mnapenda kuhudumiwa na madaktari wanaume...
Habari wandugu!
Nina mwenzangu ambaye ana ujauzito wa miez 4 sasa. lakin kwa bahati nzuri/mbaya siishi nae .Yeye yupo Iringa na Mimi nipo Mwanza. Hivyo basi ningependa kujua mbali na matumizi ya...
Hello JF doctors
Hebu tupeane Elimu kidogo hapa Je Ni Kawaida kwa Mwanamke Kubleed baada Ya Mimba Kujulikana Week 3 baadae. Na Bleed yake Ni Nyepesi ya Kawaida kama anavyopata
Nimejaribu...
Me ni mdada mwenye umri wa miaka 25 nimekuwa nikipata vichomi sehemu za siri haswa siku ya 12-15 ya mzunguko wangu wa hedhi. Yani vichomi vinakuwa vikali hata kutembea inakuwa kazi,mara nyingine...
Mods, hii ni comment yangu katika moja ya mada, lakini kutokana na umuhimu wa mada hii kutokana na tatizo la mba na fungus hasa wa sehemu za siri kuwa sugu, nimeona nilifungulie uzi ili kuwahimiza...
Kuna jamaa yangu ameniambia ametumia magamba ya mdalasini ndani ya wiki moja mpaka wiki mbili akapungua kilo tatu. Hivyo nimeona Ni shirikishe wengine wenye shida ya kupungua uzito na mafuta.
Wanajanvi ni matumaini hamjambo,, Naomba ushauri juu ya tatizo la masikio ambalo nmelpata ghafla,, tatizo lenyewe ni kelele nyingi kichwan hali inayopelekea kutokusikia sauti znazotoka nje...
Mzuka wanaJF!
Bora mungu akunyime IQ kuliko nguvu za kiume (manhood). Ni mtazamo wangu tu.
Tatizo kubwa kwasasa linalopunguza nguvu za kiume kwa wanaume wengi hasa vijana ni ponography na...
ninavyosikia Daktari mwenye cheo kuanzia cha AMO, MD nakuendelea ndo wanaoruhusiwa kufanya postmoterm. sasa ningependa kujua ni sheria ipi au kanuni zipi zina wapa power ya kufanya postmoterm...