Habari zenu wakuu,
Ni matumaini yangu wote tupo sawa na tunahangaika katika ujenzi wa taifa. Nisiwachoshe sana kwa salamu niende kwenye tatizo langu linalohitaji ushauri wenu wa kitaalamu.
Mke...
Habarini
Mimi ni kijana mtanashati. Mrefu futi 5 na ushee rangi dhahabu na mwili wenye afya tele. Umri wangu miaka 25 na Elimu yangu ni ya kuridhisha kwa kweli.
Napenda kujichanganya na watu...
Naomba kujuzwa hili linasababishwa na nini na ni dalili za ugonjwa gani. Maana nina siku kama 4 tokea nikutane na mdada kimwili.
Nimeanza kusikia maumivu ya kawaida jana kipindi nikikojoa...
Tangia jumapili mpaka Leo hii naumwa sana. Yani kila ninapoenda Haja ndogo tumbo linaniuma sana chini ya kitovu pia uume nao huuma. Sasa nashindwa kuelewa ni ugonjwa wa aina gani umenikumba.
Salamu kwenu nyote wana JF.
Nina mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na maumivu wakati wa kukojoa na alipoenda kupima kaambiwa ana UTI. Alipewa dozi ya UTI, dawa zimeisha lakini bado maumivu...
Kiukweli nahitaji kama kuna dawa au njia ya kuacha huu mchezo maana umenikaa akilini sana nikiwa faragha na demu lazima nitest na kidole akikaa kimya najua huyu tayari lazima niombe.
Nimekua na...
The latest research shows that the main active ingredient of ginger can prevent the growth of cancer cells in the colon and destroy cancer cells in the ovaries. Tule sana misosi lakini tususahau...
tangu nakua,nimekuwa nikisikia kuwa mtoto mchanga hasa wa kiume 'wa kike sina hakika', anapozaliwa,endapo kitovu chake kitaangukia sehemu nyeti basi atakuwa hana nguvu za kiume au uwezo wa...
kuna kaugonjwa kameingia dar cha watu kuvimba lymph ktk shingo,chini ya sikio si kwa watoto wala vijana wala watu wazima utawakuta wamevimba,je tatizo hili kwa nini lizuke zaidi wakati huu,je...
habari zenu wadau/wakuu....
Ni hivi nina dada yangu ambaye anasumbuliwa na maumivu makali sehemu yake ya uzazi.
Kwa mujibu wa maelezo yake,anasema anapata maumivu makali sana kama ya jipu hasa...
Habari zenu wanaJF.
Mimi nina tatizo la mapigo ya moyo kwenda haraka haraka sana, kuchoka bila ya kufanya kazi na nikifanya mazoezi kidogo hali inakuwa mbaya, nahema sana.
Nimefanyiwa vipimo vya...
Habari zenu wapendwa!
Jicho langu la mkono wa kushoto linacheza sana chini hii ni wiki ya pili halitulii na linacheza kwa nguvu hata mtu akiniangalia anabaini bila kuambiwa, cjui tatizo ni nini...
Habari wakuu
Mimi nasumbuliwa na tatizo la miguu. Inauma kwenye foot kwa chini upande wa kwenye vidole. Kwa juu hakuna shida wala kurudi kwenye kisigino hakuna shida. Nikitembea juani inakuwa kama...
Halo wadau, mambo ni aje?? Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka miwili na miez mitatu, ananipa mawazo sana, akisikia haja ndogo utasikia anakwambia nataka jojoa na either aende nje au atakwenda...
Ukwaju ni tunda ambalo kila mmoja wetu analifahamu...na linatumika sana katika majumbani kwetu kama tunda la kawaida au katika kutengenezea juice.....
.....Ukwaju huo huo unaweza kutumika kama...
Kila anapoingia kipindi cha hedhi hupata maumivu makali kisha hutoka damu ambayo huambatana na kijinyama kidogo mfano wa harage kina rangi ya kahawia. Wale wataalamu wa sekta ya afya msaada wa haraka.
Wanajamii forums naombeni msaada. Nina mtoto wa miezi miwili hapati choo. Tatizo lake lilianza akiwa na wiki kama mbili choo akawa hapati ingawa mwanzoni alikuwa akipata choo vizuri tu.
Anaenda...
Imepita wiki moja tangu nifanye unsafe sex na yule msichana sasa najikuta uume wangu unawasha na kutoa maji maji kama usaha and ofcourse nimepanga baada ya miezi mitatu niende ANGAZA kucheki kama...