Hivi jamani wana JF, tabia za mtu mwwnye kisukari ni zipi? Maana kuna tabia mume wangu anazo kwa kweli zinanichosha sana.
Kuongea kwa upole kwake ni issue, kitu kidogo anakufokea then anazira...
Nimepata kusikia eti unapofika kileleni na manii kutoka kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke kwamba wakati huo huo kuna majimaji fulani hutoka kwa mwanamke na kuelekea kwa mwanaume.
Inasemekana...
BAADHI YA VYAKULA VYA KUEPUKA KUNUNUA ‘SUPERMARKET’
NI kweli kwamba watu wengi tunapenda kununua vyakula kutoka ‘supermaket’ kutokana na ubora wa bidhaa zake na wakati mwingine hata unafuu wa...
wadau wa jf Niwasalimu wote mliomo humu...
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo la kuota mabaka mabaka yanayotokea baada ya vipele vinavyoota na baadae vikipasuka huacha mabaka meusi ambayo...
Habari wana jamii.
Nina tatizo limeanza kujitokeza miaka mitatu iliyopita na sasa naona linakuwa sugu. Ni kwamba paji langu la uso(kipumi) ngozi yake inasinyaa na kujikunja mfano wa mtu...
Najua Watu wengi humu tunatumia usafiri wetu huu wa kawaida wa daladala kwenda katika mizunguko yetu mbalimbali. Ila ikumbukwe kuwa hasa katika jiji letu hili la Dar es Salaam usafiri wa daladala...
Kuna jamaaa yangu jana kanipigia simu na kuniambia kuwa ana fangasi zinamsumbua na nnavyojua kuwa hajafanyiwa tohara nilamwambia kuwa kafanye tohara.
Je anaweza fanya tohara huku ana fangasi au...
TATIZO LA KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA
Wapo ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata raha, husikia maumivu, mwanaume katika uume lakini ni mara chache sana kulinganisha na...
Naomba msaada kuhusu kutambaa kwa mtoto. Mtoto wangu ni wa kike ana miezi tisa lakini bado anajivuta kwa tumbo. Sasa hivi ndo naona anashika kwenye kiti au meza anasimama mwenyewe. Je ni muda gani...
Habari za humu wana jamii forum
Natumai ni wazima wa afya
Naombeni msaada wa hili tatizo kwamba kuna muda ambao huwa nahisi internal muscle zinatetemeka tetemeka tena hali hii huchukua sekunde...
Kuna visa vingi vya saratani barani Afrika vinavyosababishwa na maradhi mengine. Hiyo ndio habari mbaya. Lakini habari njema ni kuwa zinaweza kuzuiwa kwa kutumia chanjo.
Zaidi ya nusu karne...
Salaam. Unaombwa ufike na mtoto wako mwenye shida ya moyo siku ya JUMATATU, APRILI 18, 2016, SAA 3 ASUBUHI katika KLINIKI YA TAASISI YA MOYO MUHIMBILI ili alazwe kwa ajili ya kuonwa na madaktari...
Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.
Ripoti hiyo ya...
Waungwana mtoto wangu wa miaka 6 amemeza kidude vha plastic wakati anacheza kwa mujibu wa maelezo yake ila analalamika maumivu ya kifua anasema kimekwamia kifuani. Naomba mwenye kujua namna ya...