How To Make Natural Viagra Using Only 2 Ingredients
Jinsi ya kutengeneza Viagra ya kiasilia kutumia viungo viwili tu
If you want to make your home made Viagra, you will need the main ingredients...
Jamani huu ujauzito kila nikienda clinik unaonyesha kimo cha mimba na umri wa mimba haviendani. Yani kimo cha mimba ni kidogo mno.je nini vinaweza kuwa vyanzo vya tatizo na nini tiba ya ujauzito...
Kuna kijana - wa umri wa A level hivi - ana tatizo la kiafya linalomkera sana na kumfanya hata kusoma darasani imnyanyase sana. Gesi nyingi hutengenezeka tumboni na mbaya zaidi inajitokea...
Ndugu wana JF kuna applicatio nafanya ya masomo sasa kigezo kimoja wapo kuna form ya Foreigner Physical examination form inatakiwa ijazwe. Sasa humo ndani kuna magonjwa mengi inatakikana nipimwe...
Habari wadau.....
Naomba kuuliza nini chanzo cha harufu mbaya na zile nywele nyeupe nyeupe kwenye sehemu nyeti?
Na je nini tiba ya kiondokana na matatizo yote hayo mawili?
Naomna kuwasilisha!
Katika maisha na kwa ajili ya kuwa na afya njema ni vizuri ukajua kama uzito uliokuwa nao umezidi, umepungua au upo sawa. Hii itasaidia kuepuka na baadhi ya magonjwa au matatizo ambayo huja baada...
Nina mpenzi wangu ananipenda sana kwa dhati, pindi tuwapo faragha tukianza tu ugonjwa wake nikuning'ata hakawii kufika kileleni.
Ananishangaza jinsi hunibana hadi kukosa pumzi, na nikikaa vibaya...
Habari wana jf wenzangu,nina mdogo wangu wa kiume tokea abalehe ana vinyonyo vinavyomfanya aonekane kama mwanamke,sijui kisayansi inaitwaje,nataka kujua,huwa vinachukua muda gani kuisha kabisa au...
Naomba kuuliza mwenye kujua hospital ya jaha ilipo japo nimesikia ni maeneo ya ilala na kufahamu huduma zao zipo vipi na mazingira kwa ujumla please msaada wenu
Habari zenu wana jf wote
Mimi nina mama yangu ambaye ni muathirika wa virusi vya ukimwi kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya miaka 10,kipindi cha nyuma kipindi tuko bado wadogo Mimi na dada zangu...
Nimekua nikijiuliza ni kwa nini tiba asili hazina nguvu tena
watu walijaribu mayai ya kware lakini hayakusaidia, ulikuja ubuyu, kikombe cha babu, alovera zote hazina nguvu kabisa siku hizi
sikui...
Naomba msaada madokta kuhusiana na tatizo Hili, Nina mpenz kaingia hedhi tareh 8 mwez wa 2, na nikakutana nae tareh 4 mwez wa 3, akawa kabadili mazingira mengine, lkn haingii kwenye siku zake na...
Teenager regains sight after transplantation of pig's cornea
What would happen if a pig's cornea is transplanted into a human? The very first bioengineering cornea transplantation surgery was...
wakuu wa Nchi naomba kuuliza hivi hii bidhaa tajwa hapo juu inatibu kisukari type 2? Maana kuna mama mmoja aliniambia ametumia na akapona kabisa .sasa sijawa na uhakika asilimia 100 naomba kama...
Imeshawahi kuweka kinyongo moyoni? Kinyongo ni hisia ya kutomfurahia, kumchukia au kutotaka kuhusiana na mtu kwa sababu ya mambo yaliyokuudhi.
Kwa ujumla hii ni hisia mbaya sana kwa sababu...