Habari za siku Wakuu,
Hope mu wazima na mnaendelea vyema na mihangaiko yenu ya kila siku.
Leo nimekuja kwenu nina tatizo ambalo linanitia wasiwasi kama si shaka kabisa.
Wote tunaelewa kuwa...
Habari waugwana,
Leo nimekuja na changamoto ambalo limekua kwa kasi ajabu lakini likituacha wengi bila kujua nn chanzo chake.
Kunakesi kama kumi au zaidi nimezisikia na kuziona jinsi mtoto...
Nataka kujua huu ni uongo au ukweli tetesi hizi zililetwa na nini,maana kuna watu huwa hawaamini Tanzania wanaenda Kenya ,aidha mniambie ni hospital gani wakweli juu ya hili kuna rafiki yangu...
Habari,
Kama kichwa kinavyosema naomba kujua faida na hasara zake na kama itapunguza ufanisi wa tendo la ndoa ama kuongeza pindi mwanaume atakapo fanyiwa hii kitu?
Karibu wataalamu
Kutokana na tabia yangu ya kutokunywa pombe nimejikuta nikienda sehemu za starehe vinywaji navotumia ni vile visivo na vilevi kama vile redbull,bavaria na Dragon tatizo hivi vinywaji kila nikinywa...
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!
Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
Habari bandugu naomba mnipatie altenatives ya kuufanya uso wangu uwe mgumu maana mimi ni mwanaume sipendi kuona uso wangu kuwa mlaini.shemeji/wifi yenu hupenda kunishikashika uso akisema anaupenda...
Ni mke wangu, kwanza kabisa anaweza kaa siku zaidi 50 mpaka miezi 2 hajaona siku zake, mbaya zaidi akiona anakaa tena kama siku 10 anaona tena na sasa hivi imekataa kukatika kabisa.
Naomba...
How To Make Natural Viagra Using Only 2 Ingredients
If you want to make your home made Viagra, you will need the main ingredients which are very often available in grocery stores. These...
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!
Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu
Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA...
Mimi ni kijana mdogo, nina tatizo la macho, nashindwa kuona mbali hivyo ikabidi nitumie miwani.
Sasa kwa sasa nina miaka miwili tangu nitumie macho yangu yameanza kuingia ndani hadi nayaonea...
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu
Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA...
Habari zenu jamani.
Kuna jamaa yangu nimepita kumsalimu ila hali yake si shwari kabisa.
Amevimba tumbo anasema ni mwezi wa sita sasa, anasema tumbo linauma
amepoteza hamu ya kula na hata...
Habari msomaji wa uzi huu.
Kuna tatizo kubwa ambalo huwakumba wanawake. Tatizo la kutoshika ujauzito.
1.OVARIAN CYST ni tatizo ambalo huwashika watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 50 sababu...
UMUHIMU WA KUSAFISHA UTUMBO MPANA
Kuna sababu 18 ambazo zinkupelekea ULAZIMIKE kusafisha utumbo wako MPANA. HILI ni eneo ambalo uchafu wote ambao unahitajika kutoka kwa njia ya haja KUBWA...