Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Aiseee!!! Yamenifika hapa. Nimekuwa nikisumbuliwa na genital fungus for almost 5 years now, yani kila dawa ninayopaka inanipa relief tu na sio kunitibu, nimewahi kunywa fluconazole ya mwezi mzima...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari Ndugu zangu, Hivi mtoto wa mwaka na nusu mpaka miwili kiafya aogeshwe mara ngapi kwa siku? Asanteni kwa michango yenu.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
We live in a world where our food is heavily processed, laden with sugar and artificial chemicals. We exercise less, have more stress, and spend less time in the sunshine. Heart disease is one...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Can't sleep? It could be because your mother drank during pregnancy: Alcohol consumption can 'damage slumber for life' Exposure to alcohol in womb may make it harder to sink into a deep sleep And...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Habari wakuu Kuna binti kajifungua salama kwa njia ya kawaida leo saa 10 alfajiri akaruhusiwa kurudi nyumbani punde tu baada ya kujifungua. Aliporudi nyumbani akapumzika kwa kulala yeye na mtoto...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hili linakuwaje ,mwanamke kutoa maji mengi ukeni wakati unamuandaa,na pia uume kupita bila hata kukwama popote pale. Je, ni tatizo la kiafya? .au unakuta ametoka kuchepuka nje?
0 Reactions
62 Replies
24K Views
Hivi karibuni imekuwa kawaida kusikia mtu mzima anaumwa nimonia, zamani tulizoea kusikia watoto ndio wanapata haya maradhi na hasa sehemu zenye baridi kinyume na sasa Dar watu wanapata. Je, ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi . Madokta je hili ni tatizo ?.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba msaada nitumie njia gan ili nisiwashwe na kutoka mapele au rashes kwapan nikitumia deodorant ya aina yoyote au body spray ikigusa ngozi ya kwapa. Kuacha kutumia nashndwa kwa sabu natoka...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Alcohol IS bad for your health... EVEN in moderation: Just one glass a day 'increases the risk of various cancers' Until recently science-backed wisdom was alcohol in moderation could actually be...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Kutokukojoa mapema mkojo ukikushika. Kutokunywa maji ya kutosha. Kula chumvi sana kwenye chakula. Kutokujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri. Kula nyama sana. Kutokula chakula cha...
7 Reactions
41 Replies
40K Views
Wiki moja niliposti kuhusu dalili za mwanzo za ujauzito kwa mwanamke, mkanishauri vizuri sana. Hatimaye jumapili ya juzi amepima na she is pregnant. Asanten sana wakuu hamjawahi kuniangusha.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jumapili, natumai wale wakristo tumesali na wengine wanaendelea vyema na shughuli zao. Madokta wa jf Nina kitu kinanisumbua sana, mama yangu ametangulia mbele ya haki kwa "renal...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki. Nyumbani tukabaki mimi na baba tu, baada ya muda kidogo baba...
1 Reactions
107 Replies
15K Views
Chupa za Vidonge vya kuongeza nguvu za kiume Viagra. Stori: Mwandishi, Wetu Wikienda Dar es Salaam: Wamekwisha! Imebainika kuwa watu wanaotumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume vya Viagra...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
.
7 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari za jioni wapendwa wana jukwaa... Kuna swali linanitatiza, je kuna uhusiano gani kati ya kulala ubavu??? Maana nimejaribu kuangalia katika mitandao naona wenzetu wazungu huwa wanajifungua...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…