Wakuu heshima kwenu
Nina mtoto wa miezi mitano lakini mpaka sasa utosi wake bado haujafunga na umeachia eneo kubwa,ingawa mtoto mwenyewe ana afya nzuri lakini tatizo hili linanipa wasiwasi...
Azam company ni kampuni inayorisha Watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la Sahara. Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa
Watanzania na nchi jirani zinazotuzunguka kupitia huduma mbali...
Habari zenu waungwana..?
Hoja yangu hapa ni kutaka kujua hivi inawezekana mtu kubadilishiwa moyo namaanisha kumtoa mtu moyo na kumuekea mtu mwengine na ukaendelea kufanya kazi kama kawaida je...
Habari wanajamvi! Kuna aina mbalimbali za birth complications kama vile miscariage(kuharibika kwa mimba), still birth(kuzaa mtoto aliyekufa), kuzaa mtoto njiti na scissarian delivery(kuzaa kwa...
Hi wana JF.
Nawashukuru sana wana JF kwa michango yao kwangu, namuomba mungu awape maisha bora hapa duniani na ya baadae.
Mimi huwa nasumbuliwa sana na maradhi ambayo sina uhakika wa jina lake...
Salama za mwaka mpya.
Napenda kufahamu ni sababu gani zinaweza kusababisha mzunguko wa hedhi kubadilika mfano kutoka siku 28 mpaka 25 au 22.
Tafadhali mwenye majibu.
Habari wana JF,
Naomba kwa anayejua aniambie faida ya Almond. Naweza kusema hakuna siku inapita bila kula hii kitu.
Je kuna athari yeyote au niendelee? maana nizipenda sana MziziMkavu
Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata...
ALOE VERA INTIMATE HYGINE WASH SULUHISHO DHIDI YA FUNGUS NA U.T.I SUGU KWA WANAWAKE .
HII NI SABUNI MAALUM KWAAJILI YA KUSAFISHIA MAENEO NYETI KWA WANAWAKE.SUBUNI HII IMETENGENEZWA KWA SHUBIRI NA...
Habari wana JF,
Tafadhali naomba kujua kizunguzungu kinasababishwa na nini maana kila nikiamka asubuhi sina raha hadi nitulie kwa muda kadhaa ndipo kinatulia.
Naombeni kujuzwa wana jamvi wenzangu.
Mtoto wangu Ana umri Wa miaka miwili swali langu ni kutaka kujua ni mgonjwa au.
Swali langu lipo hivi anakunywa sana maji yani Kila muda.
Pia akiamka asubuhi cha Kwanza kabla ya yote lazima...
Watafiti wa Uingereza wamegegundua kuwa unywaji kahawa mfano vikombe 2 vya ziada kila siku utasaidia kuponya magonjwa ya Ini yaletwayo na unywaji pombe wa kupindukia.
Kwa sasa inasemekana hakuna...
Naandika thread hii nikiwa na majonzi baada ya kumpoteza mtoto wangu kipenzi kwa tatizo hili la infection kwenye damu. Lilianza toka akiwa na miezi 6, hakuwahi pata malaria wala UTI kila mara...
Masada jamani mwanangu anaumri wa mwaka na miezi 2 kuna ili jambo utokea usiku tu yaan ni kustuka kwa kulia kwa nguvu kisha kudai maji ya kunywa.
Hili jambo utokea kila baada ya dakika 5 mpaka...
Wadau nilikuwa naomba msaada wenu kwayeyote anaye jua dawa ya jino iwe ya kienyeji au ya kisasa maana ninajino limetoboka linanikosesha raha kabisa .
Kwa suala la kuling'oa kwakweli sijafikilia...
How having kids DOES affect your health: Children are a 'more potent challenge to the immune system than flu or a stomach bug'
Having a child 'radically rewrites' a person's immune system, a...