Ladies and gentlemen I greet you all,
Mwisho wa wiki lile lingine mutoto wetu who is eight yrs old alikua akijikuna sana nyeti zake, we didn't care much coz tuliona ni kujikuna tu, then the next...
Wadau naomba kuuliza kwa anaye fahamu, je mtu akipata matatizo kupelekea ubongo kucheza au kutingishika anaweza kutibiwa na kurudi kwenye hali ya kawaida?
Naomba kujuzwa ushirikiano uliopo kati ya hivi vitu viwili FIGO ,INI.
Na pale inapotokea kushindwa kufanya kazi kipi kinaathirika zaidi ya kingine?
Msaada tafadhali.
TENDO LA NDOA: TIBA MBADALA YA MARADHI YA MOYO,
UBONGO, MAUMIVU YA KICHWA
Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi...
Wadau habari za jamvini,
Ninaombeni msaada wenu kwani kila nikila chakula nashindwa kukimeza nahisi kama kinataka kurudi (kama nitatapika).
Tatizo limeanza juzi na linanipa shida kwani siwezi...
Nina miaka 30 kwa bahati mbaya mwili unakuwa unachoka na kutamani kulala tu hata kufua nguo zangu mwenyewe nitakuwa mvivu. Nimepima magonjwa yote sina.
Pia nikiwa na mpenzi wangu kabao kamoja...
Habari za kazi wadau?
Mkewangu ni mjamzito, ndio mimba ya kwanza na ina takriban wiki ya nne sasahivi.
Naomba ushauri wa hosipitali nzuri itakayo mfaa ukizingatia yeye ana changamoto kadhaa za...
Habari Jf
Tunauza wheelchairs na vifaa ambavyo vinasaidia kutembea kwa watu wanaoshindwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine bila msaaada wa mtu mwingine, kifaa au kiungo mbadala.
Wheelchairs...
wana JF hili tatizo linanisumbua muda mrefu sasa...
yaan nikioga tu mwili wote unawasha,yaan hii hali huwa inachukua kati ya dakika 25-30 mpaka mwili utulie...
yaan hadi nachukia kuoga...
Ndani ya siku mbili hizi nimekuwa nawashwa kwenye pumbu chini.
Kwa wazo la kwanza nilifikiri ni ugonjwa wa zinaa kwani kiukweli niligegeda ndani ya wiki hiyo, ila nimechunguza hapo panapouma...
Kuna kidonda kinafanana na chale kwenye pumbu yangu naombeni msaada kama huu ugonjwa gani unaninyemelea???
Je hii inaweza ikawa ni ugonjwa wa zinaa?? Je ni upi??
Je inaweza kuwa ni chale ya...
Niko katika mkoa ambayo wakazi wake meno yamebadilika rangi kutokana na maji wanayokunywa.
Mimi nilihamia huku nilipo mwaka jana na mwanangu mwenye umri wa mwaka mmoja hajazaliwa huku alikuja...
Wanaume wengi wamekuwa wakisononeka na muonekano mdogo wa uume wao, na hivyo kutojiamini kuwaridhisha wapenzi wao wakati wa tendo. Kwa wastani wa kawaida uume wa mwanaume ukiwa umedinda (when...
Revealed... 6 surprising signs of heart disease you should NEVER ignore
A Texas cardiologist revealed oft-ignored heart disease symptoms
These symptoms appear may appear to be minor and unrelated...
Habari Ma-Dokta na Wana JF kwa Ujumla.
Mtoto wangu anaumri wa miezi Sita ila anasumbuliwa na tatizo la Kitovu.
Tatizo lenyewe liko hivi.
Mtoto anakitovu kilicho chongoka kiasi fulani pia kina...
Mlipuko wa virusi vya zika unaosababisha ulemavu kwa watoto wanaozaliwa kuwa na vichwa vidogo isivyo kawaida (microcephaly), umeripotiwa kuzuka katika nchi za Brazil na Bolivia. kesi za virusi vya...