Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu! Mimi ni binti wa miaka 24, nilijifungua kwa operation mwaka jana mwezi wa pili tarehe 12. Kwakuwa ngozi yangu laini na mshono unanisumbua, dokta...
0 Reactions
58 Replies
10K Views
Nini madhara ya mustabation kwa mwanaume? Naomba kujua
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Cancer can affect everyone – the young and old, including children. It is one of the leading causes of death in the world, where about 70% of all cancer deaths occur in low- and middle-income...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Your Body is Acidic. Here is what you NEED to Do A well-balance diet is essential maintaining a pH balance in the body. PH balance refers to the acid or alkaline values of all fluids and cells in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu salaam, nilienda hospital baada ya kusumbuliwa na mguu uliovimba, baada ya vipimo nikandikiwa dawa 2, moja niliipata pale pale na nyingine hadi leo sijaipata, nimezunguka maduka makubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Swala la kukosa choo au kukaa muda mrefu bila kwenda choo sio afya jamani na wala sio jambo la kujisifu!! pia choo kuwa kigumu(constipation) Tatizo hili likidumu kwa muda mrefu zaidi linaweza...
0 Reactions
3 Replies
764 Views
Damu ni tishu(tissue) iliyo katika hali ya majimaji. Inakadiliwa kila binadamu aliye kijana anamiliki ujazo wa lita tano za damu ndani ya mwili wake. Damu ya mwanadamu imetengenezwa na vitu...
7 Reactions
21 Replies
26K Views
Yafuatayo hapa chini ni baadhi ya matatizo na magonjwa ambayo yanaweza kutibika kwa kirahisi kwa kutumia Habbat-Sawdaa. Kwa faida ya Afya kwa ujumla: Kunywa kijiko kimoja cha mafuta ya...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Apollo Hospitals: The medical providers/partners towards a Healthy Africa The Apollo Group has touched the lives of over 45 million patients, from 121 countries and is widely recognized as the...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba kusaidiwa ukiwa na tatizo kwenye mfumo wa chakula unakuwa na dalili zipi,madhara yake ni yapi na ni vipi mtu atajitibu ama kutibiwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za weekend wakuu. Leo katka hali isiyokuwa ya kawaida nimemeza kijidudu na sijui nini madhara ya hiki kijidudu. Naomba kujua je kama ni mbu aliyekula damu labda yenye HIV je siwezi kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, nimewafikeni kwa tatzo hili, naomba nijieleze kwa madaktari humu ndani. Nimekuwa nikisumbuliwa na vichomi kwa takribani miaka 13 sasa, kila hospital niliyo fika niliishia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mnijuze kuna dawa iko kwenye shelly iko katika mistari minne kila mstari una vidonge saba, pia kila mstari mmoja unarangi moja, ugoro na cleam na kuna mishare inaonyesha jinsi ya kutumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kwa mwenye wazo anaweza kunisaidia. Nahitaji dawa ya kurefusha Uume kwa anayejua dawa anisaidie jina lake ili tuokoe jahazi.
0 Reactions
73 Replies
39K Views
Ni nini husababisha mwanaume katoa bao (ejaculation) au mucus wakati anajisaidia haja kuwa? Je? Ni ishara ya tatizo lolote ?
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Je unajua kwamba bange ni mboga? Yup-it's true. The Marijuana plants leaves and buds are actually loaded with antioxidant, anti-inflammatory, and anticancer compounds. These compounds are known...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wanajamii habari zenu, Mimi kuna tatizo linamkumba mpenzi wangu kila nikifanya nae mapenzi anasema eti mashine inamuumiza tumboni yaani kwa pembeni hivi karibia na nyonga. Ila hii inatokana na...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Bee Venom Can Kill HIV, Study Says Bee sting therapy cure for Aids ,cancer
2 Reactions
21 Replies
10K Views
HABARI ndugu zangu mimi ninamatatizo ya kusikia ngoma zimepasuka nimehangaika sana kutafuta tiba lakini wapi.ninamshukuru mungu wakati nimeanza kuugua nilikuwa kidogo ninapesa hivyo nilizunguka...
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Habari JF's nisaidien jamani. Nahitaji kujua wanawake wanaoota ndevu swala au tatizo huwa linakuwa nini ni chakula au hormone? ili kuzuia kuota kwa hizo ni nini? Swali la pili kuota kwa vipele...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…