Anasumbuliwa na tumbo baada ya kujalibu kutoa mimba ya mwezi mmoja kwa kutumia dawa ambazo mbili unameza nyingine unaweka chini ya uke karibu na kizazi. Afanyaje?
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi...
Wadau najua humu wapo watalaam,dada mmoja hajaona siku zake leo siku ya 35,ila amepima na UPT mara mbili haionyeahi mimba.Hili limekaaje.Kawaida ya mzunguko wake ni ni 32_35
Kwawanao taka kutoa vitambi kupunguza unene na manyama uzembe product zetu za mimea na matunda ndo suluhisho.
Zisipo kusaidia hela yako inaludishwa
Tuwasiliane 0683109166
Hi Wanajamvi
Jamani naombeni msaada na kuwauliza kwamba mke wangu tulikutana kwajili ya kutengeneza mtoto cha ajabu amenda mp cku 30 badala ya 32 ambayo ilikuwa normal.Na hajapata maumivu a tumbo...
Yani nina 92kg nataka kupunguza uzito wa mwili at least nifike 80 if not 75 nataka mnishauri diet nzuri itakayo nisaidia nafanya mazoezi kidogo though sitaki dawa za kunywa ili nipungue uzito no...
Chennai ni jiji la tano kwa ukubwa nchini India, jiji hilo limepigwa na janga kubwa la mafuriko ambayo hayajawahi kutokea kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, mafuriko hayo yameliacha jiji hilo...
Salam Jf!
Naomba msaada wa tatizo nililonalo ambalo naona siku zinavyozidi kwenda linaongezeka sana.
Huwa nikilala usiku nikishtuka usingizini nakuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana. Hadi...
Wakuu heshima kwenu,hii mada nimeileta jukwaani kwa wataalam zaidi,kuna mtu alikuwa anasema kama mtoto ni mfupi na yupo chini ya miaka miwili kuna vyakula au dawa ukimpa anarefuka haraka,je hii ni...
Wakuu,
Utoaji mimba ni jambo hatari. Kuna wakati inabidi, lakini asilimia kubwa ya watoaji mimba ni wasichana wadogo, hasa walioko shule ambao wamejiingiza katika vitendo vya ngono mapema...
Habari wakuu nna ndugu yangu anatafta mtoto toka kuolewa ni mwaka wa 3 ila hajashika ujauzito kashapima vipimo vyote ila ikifika kwenye homoni anakutwa zinapishana, afanye nn ili kurudisha katika...
Salamu kwenu wana MMU,
Karibuni sana katika hili kuna kitu naomba mnijuze enyi ndugu zangu. Kuna mtu mmoja yapata wiki moja sasa anasumbuliwa na uume. Nihivi kila akimaliza kukojoa mkojo( huu wa...
Mimi ni mgonjwa wa tumbo toka 2013. Niliwahi kwenda hospital Moro kwa deside nikapiga ultra sound na kuambiwa hamna kitu, nikapewa dawa zikanisaidia kiasi na ulabu nikawa nimesimama. Nilivyo kaa...
Habari wakuu,
Jamani naombeni msaada wenu, mdogo wangu ana tatizo la kinywa. Meno yake si meupe na anatoa harufu mbaya na mengine yameanza kuoza.
Je anaweza kutumia nini kutibu tatizo hili na...
kuna jambo linanitatiza sana,eti kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia sehemu za siri za mtoto,mtoto huyo anakuwa -------(kwa mwanaume),na mgumba(kwa mwanamke?)...hizi habari nimezipata sana na...
kuna ndugu hapa anaharisha sana amekula jana maziwa pamoja na samaki analalamika tumbo na pia anatapika atumie kitu gani apone maana nasikia maziwa na samaki ni mchanganyiko...
Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana na wazee pia.
Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.