Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Huyu mwanamke alibeba mimba mwezi wa 4 mwaka huu maana mara ya mwisho kuona siku zake ilikuwa tarehe 23 march na tarehe 6 amejifungua salama kabisa mtoto mwenye afya nzuri na ana uzito wa kilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kutapika hutokea pale akili inaposense kwamba kuna sumu imeingia mwilini. kwahiyo kutapika ni njia ya kutoa sumu mwilini. kuna wale hutapika wanaposafiri. hii hutokea kwasababu sehemu ya ubongo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mtoto kazimia gafla nikampeleka hospital nikamkuta Ana sukari ya kushuka. Je nini sababu ya sukari kwa mtt? Je afanyeje ili aweze kuushinda ugonjwa huu hatari? Je anaweza kupona??
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama tunavyofahamu, kila jambo na wakati wake. Tupo katika karne ya 21 ambapo vijana hujiingiza katika ngono wakiwa wadogo, wengi wao kabla ya miaka 18. kufanya hivi kuna hatari...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana jamvi, Leo tumeona tuwakumbushane mambo kadha wa kadha kuhusu kujihusisha na ngono, hasa kama haupo tayari kuwa na mtoto. Kuna hatari kubwa ya kupata mimba unapojihusisha na ngono, lakini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mke wangu ana matatizo kwenye mzunguko wake yani inaweza pita hata miezi mitatu hajaingia mwezini . Je inasababishwa na nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu tafadhali naomba kujuzwa. Nina mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na nusu nisiku ya pili leo akianza kukojoa analia na anakojoa kidogo kidogo sijajua tatizo ni nini hasa. Afya yake...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa, naomba kwa anayefahamu REHAB nzuri ikiwa pamoja na gharama zake na mkoa ilipo, naomba anisaidie nipo na uhitaji sana wa kuokoa maisha ya kaka yangu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jamvi... Mwenzenu nina tatizo ambalo nilifanyaga uzembe nikiwa mdogo,jino la juu upande wa kushoto katikati lililegea nikajiakiacha sikulitoa...baada ya muda mchache jino jingine...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Helo,habari? Hospitali gani naweza kupima kipimo cha O.G.D kwa ajili ya tumbo kwa bei nafuu?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Autism: Watoto wa Kisasa na - (afya ya ubongo) watoto wengi wanaozaliwa sasa wana matatizo ya ubongo, brain spectrum, yaani autism. hata nchi zilizoendelewa zimekumbwa na janga hili kubwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kujua dawa nzuri ya kutibu maji, hasa angavu kama ya mto, yafae kwa matumizi ya nyumbani kama kunywa, n.k. Pia naomba kujua ujazo, bei ya dawa husika, na madhara yake. N.B. Nataka kutibu...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Ni wapi nitapata tiba ya Henia bila kupasuliwa,au ni Hosptali gani kwa Dar es slaam inayofanya upasuaji wa henia vizuri
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uzito na unene uliopita kiasi siomzuri kiafya huweza kusababisha magonjwa kama Kisukari Matatizo ya moyo Matatizo ya pressure na Stroke Punguza uzito kwa kutumia dawa ambazo hazina kemikali...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ? Ukosefu ama upungufu...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Watch and learn https://youtu.be/u3ZjKHEz6eA
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni maziwa gani mazuri ya mtoto wa umri wa miezi miwili. Kwa maana wife anataka kumwanzishia mtoto maziwa kwani likizo ya uzazi ndo inaisha. Naomba msaada wenu wazazi wenye uzoefu na maziwa ya...
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Nimejaribu kujizuia lakini nashindwa. Nakunywa wastani wa coca cola 4-5 kwa siku. Nikiamka tu kabla sijala chochote nakung'uta coca baridi. Nikigonga supu naisukumia na coca baridi. Mchana...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
wadau naomben msaada kitu gani ntatumia kuondoa weusi katikati ya mapaja
0 Reactions
7 Replies
6K Views
We are constantly looking for new ways to improve health and treat specific ailments ? an endeavor that takes us around the world and into many different cultures. During one of those quests, we...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom