Afrimec kupitia huduma zake za onlinemedical consultation inakuwezesha kuwasiliana na kuongea na madaktari na kuweza kujibiwa ndani ya muda muafaka kulingana na tatizo husika.
Jinsi ya...
Huyu binti ana miaka 20, ana mwili mkubwa na ni mrefu ingawa hakuvimbiana. Mbaya zaidi mpenzi wake alimwacha eti ni mnene.
Nahitaji nimshauri njia ya haraka kupunguza mwili wake ili awe happy...
Naulizia sehemu youote mnayoifahamu ambayo inafanya kipimo cha biopsy kwa umakini na uhakika zaidi hlo ni kwanza pili ni nani anayefahamu sehem wanafanya kipimo cha P.E.T Scan kwa uhakika jibu...
Hospitali za Apollo kutoa huduma za kiafya masaa 24 kila siku ulimwenguni kote
Kurahisisha huduma za afya ulimwengu kote, watojia wakubwa wa huduma za afya kundi la hospitali za Apollo limebuni...
Salam kwenu Doctors, jamaani sijui kama ni tatizo, mwanangu ana miezi 4 ni wa kiume, tangu nimejifungua anakojoa penis yake ina erect na akikojoa anarusha mbali akiwa hayupo daipers..
Sasa kama...
Mimi ni mwanafunzi katika chuo Fulani Hapa Tanzania
Mwezi wa nne mwaka huu niliingia katika mahusiano na dada fulani ambaye kiukweli nilimpenda sana,nina mpenda sana na nitazidi kumpenda sana...
Waungwana najua humu kuna ma pharmacist na hata matabibu waliobobea na hata wagonjwa pia.
Hii dawa ya Gancyclovir ninaihitaji sana kwa ajili ya dada yangu ambae baada ya kufanyiwa endoscopy test...
Worms Can Invade Your Brain from Eating This Common Food
With eating this common food,worms can invade your brain. Once they are consumed and enter your organism, they can move throughout your...
Habarini ndg zangu?
Maada inajieleza hapo juu, hajui afanye nini? na hajui inasababishwa na nini? na ni ugonjwa gani?unatibiwa vipi?
Nimeambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi.
Msaada wenu ni...
Mtoto WA jirani yangu Ana dalili zote za kipindupindu, Now ndo tunampeleka hospital, naomba kujua zilipotengwa huduma kwa watu wenye kipindupindu kwa wilaya ya Kinondoni!
habari wakuu.
Mimi mama wa miaka 35. Nina mtoto mmoja wa miaka 8.nilibahatika kupata mtoto mwaka Jana. mwezi wa nne mwaka huu Mwanangu mpendwa akatangulia mbele za haki akiwa na miezi 8,RIP my...
Habari zenu wadau,poleni na najukumu.
Naomba nipate utalaamu wenu katika hili wadau,nimemaliza dozi ya U.T.I na nimepona ni vipi nikikutana na mume wangu kimwili anaweza kuniambukiza ingawa yeye...
kuna Mgonjwa anaeishi na maabukizi inasemekana aligundulika mapema akashauriwa atumie dawa baadae alipoona ananguvu akaacha bila ushauri wa doctor sasa amezidiwa na tumempeleka hospital naona...
wakuu nimekuwa na hii shida nikitembea umbali mrefu napata michubuko mapajani. Mimi sio mnene nina mwili wa kawaida, ninabadili boxer kila siku. je nini kinaweza kikaniondolea hili tatizo!?
Wakuu,
Nimepatwa na ugonjwa hapa wa maumivu makali ya nyama za mwili wote, zinaumaa sana.
Nahitaji msaada kwa anayeijua tiba,maana hakulaliki wala hakukaliki, hali ni mbaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.