Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaidi natokea kwenye familia maskini ambayo haiwezi kunipeleka India.
Sasa kwa yeyote...
Jana nilikuwa napiga story kijiweni na wazee flani hivi hapa kitaa wanasema eti mwanaume asiposhikwa na ngiri siyo rijali?
Kuna ukweli au na mawazo yao.
Naomba wana JF mnambie kama ni ukweli au...
Natibu watu wenye matatizo yafuatayo kwa gharama nafuu sana.
Mawe ya kwenye mfuko wa nyongo bila upasuaji.
Mtu kutokwa na jasho jingi muda wote, bila sababu maalum. Matokeo ni ndani ya masaa 48...
wandugu naomba kukiri mi ni dependant yani zile classification za ICD 10 na meet zote ila sasa i hv been struggling kuacha pombe nimeshindwa kabisa. nisaidieni kama kuna hizi group therapy hapa...
Hello,
Yaani sasa yapata mda mrefu sana nina kama vipele vipele usoni vingii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sana.
Nisaidieni nitumie dawa gani.
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume vya kutosha kuweza kujamiiana. Anaweza kushindwa kusimamisha kabisa au akashindwa kumaintain...
HII NI HABARI NJEMA KWA WASIOPENDA UNENE NA WANAOTAKA WASIPATWE MAGONJWA YA KISASA!
Kwa miaka sita iliyopita duniani tatizo la kisukari limeongezekwa kiasi cha asilimia 600%.
Wataalamu...
Wakuu salaam,
Tangu nilipokua mdogo hadi sasa Nina 26, sasa tumbo langu ni kubwa mithili ya kitambi au minyoo, nimejaribu kutumia dawa za minyoo lakini hamna mabadiliko. Nawaza sijui niende...
Mtaalamu wa upasuaji wa uti na magonjwa ya mfumo wa fahamu kutoka hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar.
Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu...
Habari wakuu mimi ni kijana wa miaka 24 .
Mke wangu alikuwa na ujauzito wake wa kwanza mwezi wa tisa sasa yeye ni mwalimu baada ya miezi miwili akanza kuingia siku zake sasa hapo ndio kwenda...
Kama kichwa cha habari kinavyosema baada ya kusoma taarifa za watu mbalimbali humu JF.
Juu ya uthubutu wao wa kutahiriwa ukubwani na wengine wakisema govi linafaida binafsi nikawa upande wa...
Wadau naomba kujua hospitali inayowezakutibu hilo tatizo kwa bei nafuu.vipi kcmc, mawenzi? Je huduma za bure kwa wazee (zaidi ya miaka 60) zinapatikana kwenye hospitali hizo? natanguliza shukrani.
Mke wangu anaumri wa miaka 25, ana mtoto wa miaka 5 na amekuwa akichoma sindano za uzazi wa mpango.
Kwa sasa ana mwaka hajachoma tena, amekuwa na tatizo la kukosa kusikia radha ya tendo la ndoa...
Kuna siku nilikula kuku wa kisasa ilikua jioni, asubuhi nikajikuta nimetoka na viupele kama vya kuku baada siku tatu nikaenda kupima wakaniambia nina fangasi, kwa akili ya haraka haraka kuna wazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.