Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

UMHIMU WA MAZOEZI KWA AFYA BORA Moja ya mahitaji matano (5) mhimu ili kuishi baada ya oksijeni, maji, chumvi, na potasiamu; ni Mazoezi. Mazoezi ni mhimu kwa ajili ya afya zaidi ya kuwa na...
4 Reactions
18 Replies
12K Views
Wana JF. Nina ndugu yangu ana miaka 25, anasumbuliwa na tatizo tangu 28.06.2015 mpaka hivi leo yaani anahisi kuna vitu vinamtembea mwilini mpaka wakati mwingine anafikia kujikuna mwili na ni...
0 Reactions
3 Replies
41K Views
Habari, Mimi ni mwanamke nina umri wa miaka 28 na ni mjamzito. Tatizo linalonikosesha raha ni kuwa nimepitiliza tarehe yangu ya kujifungua na hata zile wiki mbili za nyongeza zimepita...
0 Reactions
25 Replies
22K Views
Je kuna faida zipi na hasara zipi za marijuana.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau? Naomba msaada hapa: Nina tatizo kwamba sehemu ya kushoto ya kifua (sehemu ya moyo) Kuna wakati nahisi inakuwa nzito sana halafu wakati mwingine inakuwa kama inawaka moto hivi (...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni tiba gani au dawa gani ya asili yenye kutibu malaria sugu? MZIZI MKAVU
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wakuuu wa Nchi naomba kujulishwa please kama Kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia hizi products za Forever living products . Kama zinafanya kazi vizuri maana kesho Nina mpango wa kwenda kununua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuuu wa nchi naomba kuuliza kama kuna maabara au hospital ya kupima hormones za mwilini kama vile LH, FSH, TESTOSTERONE,estrogen . Kwa mkoa wa Arusha na Kilimanjaro please naombeni kujuzwa ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Babu alifariki kwa kisukari, hivi sasa Baba mkubwa, baba mzazi, na Mama mzazi yan wote wanakisukari. Hivi kuna uhusiano gani kati ya group "O" na ugonjwa wakisukari maana hawa ndugu wote...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ukweli mchungu lakini utasaidia kuokoa maisha ya mtu mmoja au zaidi, hivi unajua kuwa baadhi ya pombe huchanganywa na vilevi vyenye hatari kiafya kwa mfana Methanol, Ethanol au Furfural ambavyo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Heshima kwenu, Sijajua kama ni tatizo au vipi, lakini nimegundua nywele zangu za makwapwani hazikui kabisa. Kifupi sijawahi kuzinyoa tangu nibalehe kwa sababu ni vidogovidogo sana ndo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari za saa hizi? naomba kujuzwa madhara yanayoweza kumpata mama mjamzito anaeinama mara nyingi au kwa muda mrefu hali ya kuwa mimba yake ni kubwa...kuanzia miezi sita na kuendelea...
0 Reactions
10 Replies
52K Views
Habari wakuu? Kwa wale wenyeji wa Ifakara Morogoro, ningependa kujuzwa ofisi za NHIF zinapatikana? Na kama zipo ni sehemu gani?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ndugu zangu naamini kwa wengi haliharibiki neno. Nina rafiki yangu alikua akioiga sana punyeto mpaka alipooa ndipo kaacha. Shida inakuja, hawezi kumridhisha mke wake, ndani ya dakika moja...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Kulingana na upungufu mkubwa wa wataalamu wa magonjwa ya mfumo wa fahamu Tanzania, vichanga 1000 kati ya 4000 wanaozalliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu. Ina maanisha vichanga...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu, Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa kuyumbayumba kama mlevi japo situmie kilevi chochote nikitembea nayumbayumba nakosa balance. Sijawahi kutumia kilevi chochote hali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anayejua dawa au suluhu ya tatizo hili anisadie coz wasichana wananikimbia kwa madai kua nna kibamia kwahyo siwafikish vizuri.Kwa sasa naogopa hata kutongoza natamani niwe napiga pull tu ili...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Napenda kuuliza kuwa ni kitu gani kinasababisha homa kuwa kali sana nyakati za usiku. Je ni kwa nini vifo mara nyingi hutokea mida ya usiku?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam wana JF. Mimi ni mhanga wa ugonjwa wa typhoid ambao umeweka makazi mwilini mwangu. Kila nikitumia dawa baada ya muda mfupi unarudia tena. Nimesoma thread mbalimbali nimeona dawa moja ya...
0 Reactions
16 Replies
26K Views
Naombeni mnisaidie dawa ya tezi za shingo zimevimba na zinauma sana . Leo siku ya tatu na zinasababishwa na nini?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom