Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wana JF ,naomba kuuliza kama Kuna mtu alishawahi kutumia hizi products za kichina kama zinafanya kazi kwa uzuri please let me know .na kama Wana office Arusha iko maeneo yapi please. Msaada kama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
1. Pombe husababisha ugomvi maana mtu akishalewa hajitambui anafanya nini. 2. UCHUMI : Kwanza pombe inakumalizia hela za matumizi muhimu kama vile kusomesha watoto, unabana budget ya vitu muhimu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada tafadhari Nimekuwa nikisumbuliwa na swala la kuto kula nyama nyekundu yaani nyama ya ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuonekana mrembo na mdogo imekuwa ni jambo la msingi sana katika tamaduni nyingi sasa. Katika ulimwengu wa sasa, tunaguswa sana na picha nyingi vutivu za watu maarufu. Kwa Tanzania tunao baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari wa JF, Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 32. nina tatizo la miguu na mikono kuwa ya moto na pia kuwa na ganzi ni tatizo ambalo limeanza kama wiki 4 zilizopita saa nyingine hata nikivua...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Hi,kuna hii tendency nimekuwa naiona kwa akina mama waliozaa watoto waliowatosha,wanafunga kizazi kabisa ili kuepukana na hizi njia na uzazi wa mpango ambazo zina madhara kadha wa kadha. Naombeni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Utafiti mpya kabisa na wa hivi karibuni kutoka chuo kikuu cha Stanford nchini Marekani unaonesha kuna uhusiano mkubwa kati ya mafuta ya transfoma na nguvu za kiume. Profesa Derrick Fitzgerald...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari wana jamvi, naomba msaada kwa wenye uelewa na vipele/ vinyama vyeusi vidogo vidogo vinavyojiotesha usoni. Je tatizo nini?
1 Reactions
16 Replies
29K Views
Shikamoo madaktari. Mimi nina shida bwana shida yenyewe ni kwamba leo asubuhi nimeamka sijala chochote hadi muda huu nakuandikia kwako.Ila hadi sasa toka asubuhi nimeisha enda chooni haja kubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama hali itaendelea hivi kizazi hiki hasa vijana wengi wa kiume hasa wa mjini watakabiliwa na tatizo kubwa la nguvu za kiume kwa kukosa lishe! Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa vijana wengi...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wanaume wengi ama wameachwa, au wako mbioni kuachika au mke yupo mchepuko kwa sababu ya kushindwa kula Nyama tena ya stake. Inakuwaje wewe mwanaume uliye na bibi mzuri unashindwa kumpa raha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Nina 102kgs, nimeamua kuanza kula mlo mmoja wa mchana tu, huku jioni nikipitisha na maji tu. Breakfast nayo ni Mara moja moja. Lengo langu ni kufika 85kgs. Je, nini hasara ya njia hii...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
kuna mtoto wa dada cjui anashida gan...afya yake sio nzuri ana mwaka mmoja ana kg 8... mtoto hali kitu chochote zaid ya uji na maji tu bt uji anauchanganyia.... mahindi mchele mtama mweupe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nataka ninenepe nile nini?
0 Reactions
80 Replies
45K Views
WanaJF, Health is an important asset to any person. For Jamiiforums members good health is additionally needed for an effective participation in the frequently hot, intelligent and brutal...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Naomba mnisaidie mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani, mimi nina ujauzito wa miezi minne, ni ujauzito wangu wa kwanza, sijaexperience hiki kitu.
0 Reactions
14 Replies
101K Views
Za leo wandugu wapendwa, Jamani napenda kutoa shukrani kwa wana JF wote wa umoja wenu katika maswa mbalimbali. Leo ningependa kupewa all the proceedures(vyakula, uvaaji n.k) za mama mjamzito...
0 Reactions
16 Replies
26K Views
Image: shutterstock Flab around the belly! This is one thing that can be source of constant embarrassment no matter what’s your age. Nobody wants their tummy protruding out and making their...
1 Reactions
10 Replies
143K Views
Habarini wanaJF, Naombeni kujua hivi inawezekana kwenda kupima HIV alafu majibu ukaomba utumiwe kwa njia ya sms yani usiyapokee hapohapo utumiwe kwa sms.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jama naomba ushauri kwan kwa muda sasa nimekuwa nikitumia hiki kinywaji lakini nnapo amka asbhi kichwa hwa kinak'wa kizito na mdomo k'wa mzito na kama michbko flani kwenye 'limi hlp pl'z je kina...
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Back
Top Bottom