Wakuu heshima kwenu, nimekua nikisikia mara kwa mara kuhusu hili tatizo la Candida kwa wanawake.
Swali langu ni je, kuna uwezekano wa mwanaume kupata uambukizo wowote iwapo utakutana kimwili na...
nilimpeleka ndugu yangu muhu2 kitengo cha mifupa[moi] wananizungusha pesa nimelipa mizunguko kibao mgonjwa hajapata huduma na mm naona bora nitafute hosp nyingine.wana jf kuna uwezekano kwa siku...
Habar wakuu, kwa wenye ufahamu wa hospitali zinazotoa huduma tajwa hapo juu zinazopatikana DAR ES SALAAM pamoja na gharama zake itakuwa vyema zaidi, Nawasilisha kwenu wana jamvi.
Afrimec kupitia huduma yake ya mydoctor inakuletea huduma ambayo itakuwezesha kuongea na kuwasiliana na Madaktari kuhususu tatzilo lolote la kiafya
Na utajibiwa ikiwa nipamoja na kupewa ushauri...
Nimejifunza leo kwamba ili usinzie fofofo, ndani ya dakika 90 unapitia stages kadhaa. Kuna mbili ambapo mojawapo ni majanga.
1. REM: Ambayo unakua umesinzia unconscious ila una uwezo wa ku move...
Nilishawahi kusikia kua mwanaume akijichanja kidog sehem yake ya uume ya kichwa yaani glans penis kwa kitaalam na akapaka Utomvu wa dodoki au minyaa.. Bas uume unakua na umbile kubwa... Je?? Kuna...
Wadau naomba mwenyewe namba ya Dr. Tarimo wa pale idara ya OPD Muhimbili a nipatie . Kuna mgonjwa inahitajika sana amuone. Alienayo Tafadhari kama si hapa hata kwenye inbox aniwekee.
Jamani mguu unaniuma sana kwenye nyonga nimeenda hospital nimepewa dawa ya maumivu na kufanyishwa mazoezi (physiotherapy) lakini sina nafuu.
Naombeni kama kuna mtu anaelewa hili tatizo anisaidie.
Ndugu zangu ma daktari, Je inawezekana daktari mwanamke kumdunga sindano mkwe wake?
Mimi kwa sasa nahitaji mke awe daktari ambaye yuko tayari ani pm awe mrefu, miaka kuanzia 34-41 asiwe na mtoto...
Wadau kwa muda sasa nashindwa kulala vizuri, yani nalala kwa mawenge na hofu kubwa ni wezi/kuibiwa!!
Nipo katika uchumi wa kawaida tu ila usiku lazima nitashtuka na muda mwingine naamka...
Aliyefanyiwa upasuaji akabakiwa na na testicle moja ya kushoto
Vip atapiga mzigo tena?efficiency vip?atapata watoto tena?
Testicle iliondolewa as ilikuwa na uvimbe
Saratani inasemwa kuwa chanzo kikubwa cha pili kinachosababisha vifo ulimwenguni. Saratani ya matiti peke yake inaripotiwa kuwa ya pili kama sababu kubwa ya vifo vinavyohusisha saratani kwa...
Wakuu naombeni mnisaidie huu ni mwezi wa tatu sasa kila niamkapo kuanzia saa 11 alfajiri kuelekea asubuhi huwa nasikia baridi kali mno .
Mfano wa la homa ila nikiamka saa 10 kurudi usiku mfano...
Niliona uzi humu ndani wa tiba za dawa ya kutibu jino nikafatilia na nikaamua kuiapply na kweli matokeo yake nimeyaona nimeamua kurejesha humu ndani ili kumshkuru ndug MziziMkavu.
Mke wangu...
Jamani wana MMU,
Nasikitika kuachwa na sweetie wangu kisa eti nanuka mdomo kupindukia na kaniporomoshea matusi mazito eti mdomo wangu unanuka kuliko yai visa.
Hapa nilipo nina majonzi mazito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.