Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wajameni mwenzenu huyu mama enu mdogo kusema kweli nampenda sana,wakati tulipokua tunaanza mwaka jana mwezi kama huu nilikua natamani mda wote nile raha tu. Ila ana tatizo la kutoa majimaji ya...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Wanajanvi, kwa wale madaktari na wazazi naomba mnisaidie mtoto wangu anaumwa kama ifuatavyo:- Mtoto ana miaka mitano, alitahiliwa akiwa na miezi sita, leo asubuhi nimestukia sehemu aliko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tatizo linanisumbua, mapu*** yanachemka sana, kuanzia katikati ya mapaja na mapu*** yenyewe, ukipitisha mkono na kuyashika kuna joto kali sana, hata baada ya kuoga dakika chache tu yanaanza...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wana JF Doctor habari zenu wote. Mwanangu amemeza gololi tangu jana majira ya saa 3 asubuhi Ni hizi gololi wanazonunua madukani na kuchezea(sijui vizuri materials zake,lakini sio zile za chuma...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Pole na majukumu wakuu, naomba kujuzwa hospitali nimayoweza kupata daktari wa wanawake mkoani Kilimanjaro, Moshi tofauti na KCMC, ni emergence tafadhali msaada wenu muhimu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu the great thinkers, Tafadhali naomba kujulishwa kama kuna dawa inayoweza kupunguza au kuondoa maumivu makali ya tumbo kipindi cha hedhi,maana nashindwa kulala na mke wangu akiwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu poleni na majukumu.nilikuwa naomba kufahamu,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi kuna huduma nzur ya clinic kwa mjamzito?nitashkuru kwa mawazo yenu.
0 Reactions
30 Replies
20K Views
Wakubwa huko sector ya afya, hii Health information system ikoje ktk ajira ? au watoto wa maskini tuiache tu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanamke mwenye uke mdogo ni maumbie yake au ni maradhi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu bila kuchangia chochote ila nimefaidika na mengi, asanteni sana. Sasa leo naomba wajuzi mnisaidie kutatua shida yangu hii; napata kiungulia kikali mpaka vichomi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naombeni kujua kitu gani husababisha mama ajifungue mtoto mwenye kichwa kikubwa(kichwa kujaa maji). Ni ukosefu wa vitamin Fulani au ni nini. Sent from my TECNO M5 using Tapatalk.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Assalam Wakuu . Nina Staff mwenzangu anatoa harufu mbaya puani, huwa anakuwa na mafua ya ndani kwa ndani. Ninashindwa kumwambia kuwa anatoa harufu mbaya. Naombeni ushauri wa dawa itakoyomfaa ni...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu swali langu ni hili "Mtu anapoumwa maralia, nini kinashindwa kufanya kazi mpaka anakufa?"
0 Reactions
3 Replies
842 Views
Wadau habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa kutambua hospitali nzuri kwa mama mjamzito, hasa ukizingatia mhusika mwenyewe ni mimba ya kwanza. Asanteni kwa ushirikiano.
0 Reactions
28 Replies
17K Views
Tulio wengi tunaujua ule usemi usemao, kila wakati ni wakati wa chai. Na wengi tunapenda kunywa chai kila wakati, nikiri kwamba kwangu mimi ninywapo chai hunichangamsha sana. Kwa kuwa mimi...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Update information on the SD Bioline HIV-1/2 v3.0 In November 2011, the World Health Organization issued a Field Safety Notice advising that its Prequalification of Diagnostics Programme had...
0 Reactions
45 Replies
12K Views
Tatizo ni mtu unapobanwa haja kubwa kinaanza kwanza kimaumivu kama kitu kinavuta sehemu ya haja kiasi kwamba mtu unaganda kwanza maana hata kusogeza mguu huwezi mpaka kitakapoachia, ndo uende haja...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Ni miezi mitatu nimehamia kikazi hapa jijini Mbeya.Tatizo ninasumbuliwa na tumbo linaniuma sana.Huwezi amini maumivu yamefika kiunoni na mgongo wote hadi shingoni.Nimeenda pale rufaa wamenifukuza...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Hi guys, I am a 24 year old male and I am having issues with my teeth, they are a bit far apart (although not visible easily). I was wondering if its actually possible to wear braces at my age...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Wanajamii, Ni njia gani inayoweza kutumika kubadili rangi ya ngozi bila kuleta madhara kwa mtu husika?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom