Habarini za asubui!
Mimi ni mjamzito wa miezi sita, nikilala chali naskia kama mtoto anapanda kifuani. Je, hili ni tatizo? Au hairuhusiwi mjamzito kama mimi kulala chali?
Wakati nipo na miaka 13 nilishawahi kupata Kisonono (Kichocho), wakati huo ilikua tunaogelea sana katika mito michafu. Ila sasa tuko watu wazima.
Jana niliamka na homa baada ya kujisikia...
Habari zenu wakuu, naomba kujua kuhusu chanjo ya homa ya manjano kwa wanaosafiri ni wapi inatolewa na kwa siku gani na gani.
Pia kwa mwenye kujua hospitali ya Apollo iliyoko Chennai nchini INDIA...
Habari ya leo JF
Ninatatizo la kitovu kutoa maji kwa muda mrefu sasa miaka 25 nimekwenda hospital bila mafanikio nimemwona mtaalamu wa ngozi KCMC kipindi cha nyuma lakini kwa sasa nimekata tamaa...
Wapendwa,
Kuna ndugu yangu ana tatizo anauliza kliniki bora ya maneno kwa maana ya utaalamu na vifaa vya kisasa. Meno yametoboka lakini baada ya kuyaziba anasikia maumivu zaidi ya pale mwanzo na...
Habari za asubuhi wakuu,
Naombeni mnipe msaada kwa hili maana nlienda hospital na my ex wiki ilyopita akakubaki kupigwa X-Ray wakat najua kabisa ana ujauzito wa jamaa aliyenisaliti nae. Wakati...
Dar Es Salaam, Oktoba 2015:
Ikiwa zimepita siku tatu toka kuhadhimishwa siku ya Moyo duniani mwaka huu, Watanzania wameshauriwa kufanya maamuzi binafsi katika kujali afya ya moyo. Kauli mbiu ya...
Wapendwa.
Naomba kujua alipo Dr. ndodi kuna mtu ameniambia anaweza kutibu tatizo langu la kuota ndevu kwa bahati mbaya aliyenipa hizo taarifa kwa sasa hajui alipo, mwenye taarifa zake msaada pls.
Habarini madokta na member wengine wote, jamani nakiri kuwa sijui na ningependa kujua na chaguo langu la kwanza la kunielimisha limekua jf, najua humu kuna madaktari bigwa na member wenye ujuzi na...
Wakuu,
Kwa umri huu wa utu uzima wangu nimeshuhudia kuona wanaume ndio wanaoongoza kwa kunuka midomo. Asilimia kubwa ya wanawake hawanuki midomo. Mimi si mtaalamu wa mambo ya afya lakini...
Kwa anayefahamu.
Nimekuwa na tatizo la kupata choo kwa muda mrefu sasa,na hata pale ninapopata huwa ni kidogo pia kigumu mno. Tangu hili tatizo limeanza ufanisi wangu kwenye uwanja wa ndoa...
kwa kawaida binadamu inabidi apate choo masaa sita baada ya kula. kuna baadhi ya watu hawapati choo zaidi ya siku mbili hilo ni tatizo baya maaba huleta madhara baadae. kwa msaada na dawa asili...
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!
Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
Ni kijana mtanashati, Mpole, mstaarabu, mrefu japo sio sana nina sex body ninamvuto wa kimapenzi wasichana hunimbia. Japo sio handsome wasichana hunipenda sana. lakini nina uume mdogo, miaka 20...
Habari wadau naomba msaada wa effects ya abortion pills for three weeks pregnant.na je kuna uwezekano ku save mimba akiwa kaisha vimeza hivyo vidonge? Msaada please
Hello Mwanajamii!
Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vema katika kazi zako za kila siku. Katika utendaji bora wa kazi unafuatana na utendaji bora wa ubongo pia. Ubongo wa mwanadamu hufikiri vema...
Habari
Nime download apps kwenye play store yangu ambayo ina test kama u HIV positive or negative. Nikaona nikipata mchepuko we test before the game.
Issue ya msingi ninayo omba kufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.