Wadau mm ni kijana mwenye afya njema tu, sema nimekuwa nikisumbuliwa na malaria mara kwa mara hali inayopelekea niwe nameza vidonge mara kwa mara kitu ambacho kiafya sio kitu kizur! nimepima...
Siku ya UKIMWI duniani inaadhimishwa tarehe mosi desemba kila mwaka, kutoa fursa kwa jamii kuungana ulimwenguni kupiga vita gonjwa la UKIMWI, kuwapa moyo wale wote wanaoishi na virusi vya ukimwi...
Ulaji Wa vyakula vya sukari,vyakula vyenye kemikali za vionjo kama rangi,radha, na sukari iliyo ongezwa,vihifadhi vyakula katika makopo, box na ulaji wa vyakula vyenye High glycemic index ndio...
Wandugu,
Natamani kunenepa. Nimechoka kutaniwa mkomao! Sasa nina rafiki yangu ambaye ni bonge, yeye asipokula siku 2 utamuona kabadilika kabisa...yaani kapungua ni hatari! mimi ni mwembamba...
Poleni na Majukumu.
Miezi 2 iliyopita nilikutana kimwili na demu wangu wa siku nyingi ambaye tulikuwa hatujaonana takribani miaka 3. Hatukutumia kinga. Baada ya wiki 1 nikaanza kutokwa usaha...
Jamani kwa anayefahamu gharama ya vipimo vya utrasound kwenye hospitali za serikali anifahamishe.
Nina tatizo la mirija ya uzazi kuziba. Je! tatizo hilo atibabu yake ili kuzibua mirija ni lazima...
NATIBU KISUKARI, CHANGO LA UZAZU, NGUVU ZA KIUME, KUJIUNGA FREEMASON NA DAWA ZA MAPENZI
Habari nzuri kwa watanzania na wale wageni waishio ndani na nje ya nchi.
Mtaalamu Bingwa wa Tiba za jadi...
Uhusiano kati ya free radicals vs magonjwa ya Binadamu
Maswali: 1.kwanini hata baada ya kula balance diet & kufanya mazoezi bado magonjwa kama kisukari,pressure,cancer,stroke bado ni...
Wadau,
Sote tunapenda watoto. Watoto ni lulu. Watoto ni zawadi. Watoto ni furaha, hasa akizaliwa katika wakati uliokusudiwa.
Kwa bahati mbaya kuna wakati tunachelewa kuwapata kwasababu...
Salam kwenu wakuu,
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia habari za mama mjamzito kuwa anatakiwa atengeneze njia ya mtoto, kwa kukutana na mwenzi wake.
Je ni kweli kuna ulazima wa kufanya hivyo...
Habari zenu jaman nahitaji msaada jinsi ya kulea au kutunza mimba ikiwa changa ndo mimba ya kwanza sijui chochote naomba mnasidie vitu gani vya kuwa navyo makin au kuacha kbs ktk kipindi iki
Haki ya Mungu namuacha kwa hali hii.
Wana Jf nawaombeni ushauri.
Kama nisipopata ufumbuzi tunaachana.
Namulaumu sana baba yangu kwa kunitafutia mwanake wa kuoa ambaye anaharufu kali na mbaya...
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni mtoe michango yenu kulingana na uzoefu au utaalam wenu kwani kwa bahati mbaya nimejibana kama siyo kujikwangua na zipu ya suruali yangu...
Habari zenu,
Mimi ni msichana wa miaka 24, juzi kati baada ya kukutana kimwili na mume wangu nimeanza kusikia kichwa kuuma asubuhi, tumbo kuwa kama lina gesi na kuuma, mgongo kuuma, na kiuno...
Napenda kukukaribisha tena katika jukwaa langu la afya yako, leo hii napenda nizungumzie tatizo ambalo limekuwa ni kubwa sana kupita kiasi kwa kila m, tatizo ambalo linayumbisha na kuweka ndoa...
Habari wakuu,
Sijui ni ugonjwa au udhaifu yaani nikiskia harufu ya petroli yani najisikia burudani yani napenda sana niwe napita maeneo ya sheli au gari nililo panda lipite sheli huwa natoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.