Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu salama ninaumwa kichwa kina kama wiki moja sasa kinaanza asubuhi hadi usiku kucha nifanyeje waungwana
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono. Je kuna dawa...
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Nilishindwa kupata jibu la kisayansi la kile kilichowapata baadhi ya vijana waliokuwa kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu eneo la wazi huko Tanga (tena karibu na fukwe ya bahari la Hindi), kuishiwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu! Kuna dawa au aina ya chakula chochote kinachoweza kupoteza matege kwa mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 3? Nina dada yangu wenye mtoto wa tatizo hilo. Maana nimesikia CCBRT...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Kwa mnaosumbuliwa na tatzo la upungufu wa nguvu za kiume sasa basi,ninadawa ya asili inayotibu na kuondoa tatizo hilo kabisa,Ni dawa nzuri sana inayotibu na kuongeza kunguvu za kiume,ni dawa...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Wadau naombeni kujuzwa nguvu yakuongeza sperms.
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Rejea kichwa habari. Wapi naweza pata? Au angalau dawa inayofanya kazi sawa na hiyo ni herbs ambayo hutumika kama after shave na kumaliza vipele sugu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa sana na hili tatizo la hofu,mashaka,wasiwasi na uoga kiasi kwamba siwezi kabisa kusimama na kutoa maelezo au kuelezea kitu mbele ya watu hata wakiwa kumi tu lakini km ni...
1 Reactions
13 Replies
16K Views
Tunapozungumzia afya hatumaanishi magonjwa tu peke yake, bali hata muonekano wa ngozi, uso na mwili kwa ujumla. Nataka kuboresha muonekano na afya ya ngozi, mdomo na mwili wako kwa kukuletea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A) COMPOUND MARROW POWDER : Supplements calcium and magnesium to relive osteoporosis symptoms such as joint pain and lumbago; : strengthens hematopoietic function. : Improves immunity;relieves...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MFANO 1; kutosimamisha uume 2; kutoa mbegu nyepesi 3; kuwahi kufika kilelen pasipo Kuwa na hamu tena 4; kutoa mbegu chache 5; kuhisi maumivu wakati Wa tendo 6; matatizo ya kibofu TIBA ZA...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
? GANODERMA PLUS CAPSULE: : Promotes immune defensive function thus prevents cancer. : Reduces adverse effect caused by chemotherapy and radiotherapy ; eg (vomiting, pain, decrease of white blood...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kinywa ni sehemu muhimu katika mwili wa binadam yafaa kitunzwe kwa kufanyiwa usafi stahiki. Pata dawa ya meno inayolinda na kujenga fizi. Kungarisha meno. Kutoa harufu mbaya na kuua bacteria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vijana wenzangu kuna habari nimeiskia kuwa mtu aliyeathirika kwa virusi vya UKIMWI na kuanza kutumia ARv's hana uwezo wa kumwambukiza mtu ambae hana VVU coz sehem kubwa ya mwili wa anaetumia ARVs...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku za karibuni, wanawake wengi wamekuwa wakiota ndevu na wengi hawajui cha kufanya. Katika mjadala huu, tunaangalia CHANZO cha tatizo hili, dalili zake (kama zipo), tutajadili pia tiba za asili...
0 Reactions
402 Replies
91K Views
Ugonjwa wa kansa unatibika wapendwa, dawa zake ni kama hizi:- 1,GANODARMA cps A. Ni dawa tatu kwa moja B. Nzuri kwa kuzuia saratani C. Huongeza kinga mwilini D. Hutumika na hata wanaoendelea na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ONDOKANA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA MMEA WA BUTEA SUPERBA Piga +255 (0) 714 206 306 BUTEA SUPERBA: Ni mmea maarufu sana huko bara asia , hasa katika nchi hizi za Thailand, China...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
MF; Kutopata shoo, ; Tumbo kujaa gesi, : Harufu mbaya mdomoni : Utumbo mchafu; : kinyesi kigumu , : kuharisha N.k Pata Tiba zake : (1) INTESTINE CLEASING...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ingawa sio common sana kuna uwezekano wa mama kuzaa mapacha ambao baba zao ni tofauti.hii huitwa heteropaternal supefecundation. Hutokea iwapo mama huyo atashiriki tendo la ndoa na wanaume wawili...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…