Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Dr naomba msaada maana mwanangu miezi 3 kasoro siku 6 anaharisha maji maji kila baada ya kunyonya. Tatizo lilianza jana usiku. Kuna wanaotuambia eti yawezekana mama yake ni mjamzito na wengine...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Wana Jamiiforums habari zenu. Naomba msaada wa kujuzwa madhara/ athari zitokanazo na wanyama kupewa dawa za ARV.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASALAAM ALAYKUM WAISLAM WAKRISTO AMANI YA BWANA IWE NANYI WAUNGWANA HAMJAMBO? EIDD MUBARAK NINAWATAKIENI SIKUKUU NJEMA ILA NINAWAULIZA SWALI MOJA HILI HAPA CHINI Je ukiambiwa uchaguwe Kiini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nina tatizo la kukohoa sana kila tu nikinywa maji ya baridi au kuacha kifua wazi. Nifanye nini wandugu, nashukuru sana kwa mawazo yenu chanya.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba msaada sababu nina tatzo la kuongezeka kwa nguvu za kiume kupita kiasi. Yaani nakuwa na nguvu nyingi za kiume kupita kawaida. Please naomba msaada.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nina mda wa miezi sita na nusu toka nijifungue na sijarudi kwenye mzunguko wangu wa hedhi sasa majimaji meupe yasiyo na harufi yanatoka ukeni kwa wiki mbili. Nashindwa kuelewa kama hii hali ni ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari, Kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Mtaalamu wa tiba za mifugo animal health technician anapatikana Dar es salaam tegeta,,huduma hii unaweza kuipata nyumbani kwako
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Salaamu zenu wakuu, nimekuwa na ugonnjwa wa kutokwa na viupele sehemu za siri harafu baada ya kupona vinatokea vidonda mdomon na hupelekea kupata hadi homa, na hujitokeza mara moja kwa kila mwezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nimeumwa na nge, mwenye uelewa juu ya tiba yake naomba anisaidie
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Clomid inasaidia nini kwa mwanamke??side effect zake je??
0 Reactions
3 Replies
17K Views
Tafadhalini sana ndugu zangu wanajf, nimezungukwa na "rushes" machoni kwa muda wa miaka zaidi ya kumi sasa japo haziwashi lakini zinaongezeka na kiukweli uso unaharibka mwenzenu. Sasa naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Madokta na wadau wengine, naomba nisaidien kujua hili; Kuna sababu gani zina wafanya wazee ambao umri umesogea kidgo kupenda sana soda hasa aina ya koka kola na pepsi. Nimejaribu tafuta sababu...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Hivi ni dawa gani inatumika kuongeza urefu wa uume? Na inatumika kwa muda gani? Faida na madhara yake ni nini?
1 Reactions
38 Replies
22K Views
Hivi ni kwanini kijacho anakatisha kwa kugusa kwa nguvu tumboni pale ambapo mama kijacho anapotaka kupiga chafya, kikohozi na miayo? Akikugusa, chafya, kikohozi na miayo vinaishia njiani na wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuacha nyeto n ip
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi Juzi kwenye mazoezi mpira ulinipiga kwenye dushelele langu, hivyo linauma sana dushe langu, Je nikipaka Volini inaweza kusaidia kupunguza maumivu? Karibuni
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wakuu kuna taarfa mimekuwa nikizisikia kuwa kubanwa na mkojo kwa muda mrefu hasa nyakat za usiku huchangia kulegea kwa misuli/mishipa ya uume! je ni kweli?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF. Natumaini hamjambo kwa neema alizotujalia mpenzi wetu mwenyezi mungu tumshukuru. Ni hivi mimi naishi na bi mkubwa hapa yeye anapenda kupika vyakula mfano, nyama au mboga za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Naleta kwenu tatizo linalomsumbua dada mmoja, kipindi cha nyuma alikuwa anaona siku zake kawaida japo ilikuwa kwa maumivu makali hasa siku ya kwanza hadi ya tatu. Lakini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…