Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za kazi wana jukwaa. Najihisi kuvurugwa, naombeni msaada kwa mwenye utaalamu au uzoefu. Ni muda wa mwaka sasa tokea mimi na mpenzi wangu tukutane kimwili, lakini wiki iliyopita...
0 Reactions
28 Replies
30K Views
Toka ning'atwe nmekuwa na mashaka naweza dhurika
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Wakristo bwana asifiwe, Waislam salam alehkum. Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaonisaidia kimawazo na kitaalam. Ninahakika kwatatizo langu huku litapata ufumbuzi kwani kuna madaktari...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Madereva wanaoendesha magari ya masafa marefu na wale wanaoendesha magari muda mrefu bila kupumzika, waendesha farasi, waendesha baisikeli na wale wanaokaa maofisini muda mrefu wanao uwezekano...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani naombeni msaada ni mwezi sasa nasumbumbuliwa na tatizo la muwasho kooni na ulimi upo na rangi nyeupe hivi itakuwa ni nini? Msaada tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ni kweli kwamba asilimia 39.4 ya waathirika hupata v.v.u kupitia vitu vyenye ncha kali,huku 19.21% hupata kupitia salon.ni kweli kwmb joto la mashine za kiume na za kike haziwez kuua V.V.U Ila...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Ndg wana JF, Naomba kujua kama ulaji wa hivyo vyakula mara kwa mara kunaongeza ufanisi kwenye mambo ya wakubwa ya kitandani?
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Habarini wakuu. Nimeona hili nilete humu manake majukwaa mengine watu wako bize na siasa najua humu lazima ntapata msaada wa mawazo. Mimi ni me nimeoa nina mwaka mmoja na nusu sasa lakini katika...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wadau, sababu ya kupishana kwa majibu ya ultrasound ni nini? Mwanzo yalionyesha EDD n tar 22/10/2015 mimba ikiwa na miez mi4. Na sasa inaonyesha tar 22/11/2015. Msaada tafadhari. Asante...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kichwa Cha Habari KIMESHAJITOSHELEZA. Tokea Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Huu Zianze Sijapata Choo au Haja Kubwa Na Muda Mwingi Sana Tumbo Langu Limekuwa Linaunguruma Tu Huku Nikibadili Hali...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
AFRIMEC ni huduma mpya inayokupa medical consultation mbalimbali ambapo utaweza kuwasiliana na madaktari bingwa katika kada tofauti tofauti kupitia katika mtandao wa internet na utaskilizwa na...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Habari wakuu. Nini dawa ya uume kuto simama vizuri? Ahsante
0 Reactions
38 Replies
24K Views
Stomach problem treatment (intestine treatment) (1) INTESTINE CLEASING TEA (a) it improves healthy bowel movement. (b) It allevietes dyspepsia and flatulence. (c) It improves functioning of...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku. Leo napendelea kushirikisha jamii...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nikifanya ngono kiuno huniuma sana mpaka nashindwa kusimama! Je, hii ni hali ya kawaida?
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Jamani mie ninatatizo la kukosa pumzi pindi nitembeapo kwa muda mrefu na hata nikikaa tu najikuta napumua kwa shida na mapigo ya moyo uenda mbio. Tatizo ni nini na tiba ni ipi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimeona watu wengi wanakamblia kutibiwa nje ya nchi kutokana na kukosekana na huduma sahihi ama wataalamu wa kuwatibu! Je, unafikiri ukiumwa ugonjwa gani hapa Tanzania ni sawa tu umehukumiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni #MwanaumeWaKweli na nipo hapa nakukaribisha wewe mdau tuwe pamoja kuanzia leo. Vipi lakini wote wazima?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu inakuaje mwanaume anakua na matiti na dawa yake ni nini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mi naomba kueleweshwa madhara ya kiafya/kisaikolojia kuhusu watu (waume/wake) ambao kwao kutumia njia ya haja kubwa kwa mapenzi ni kawaida.Mfano nilipokuwa A-level miaka ya nyuma tulikuwa...
0 Reactions
88 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…