Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu mimi huwa hata kama tumekaa watu kumi mbu huwa wananifuata mimi kwa wingi kushinda wenzangu. Hivi ni kwa nini?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wanaa jukwaa, Tatizo langu nina sauti ndogo yani kama ya kike nini tatizo au jinsi gani ya wezwa kubadilishwa maana mpaka kero sasa, hasa hasa kwa mabinti kunidongoa kuwa nina elements za...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Msaada please, Wapi nitapata sandano ya Androgen kwa ajili ya kuzipandisha hormone za testosterone.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza, Kiafya mtoto mdogo ambaye hajatimiza mwezi mmoja anatakiwa alazwe staili gani, chali, kifudifudi au ubavu? Dr. MziziMkavu tafadhali ushauri wako unahitajia hapa
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana JF ni vizuri kujua hili please, Subject: FW: BREAST CANCER-NEW INFO(bottle) U R G E N T WARN ALL WOMEN.... Bottled water in your car.....very dangerous!!!! This is how Sheryl Crow got...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada kuna mtoto amepofuka ghafla umri wake ni miaka 18 ilitokea ghafla jicho moja likaanza kupoteza sight hadi leo hii haoni na lingine limeanza mchezo huo. Naomba kufahamu tatizo ni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Dada mmoja kaniomba niulize kwamba katumia dawa za misoprostol tatu akameza na moja akaweka uken ili kutoa mimba lakini baadaye akatapika je dawa itafanya kazi? Na kama haitafanya arudie zoezi la...
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Habarini wandugu, Nimejitokeza kwenu kuwaletea habari njema juu ya ya ugonjwa wa mifupa hasa kwenye joint.Ambapo mgonjwa hushambuliwa na maumivu makali sana na wakati mwingine hutengeneza usaha...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Msaada wanaJF, Nasikia unga wa habbat sawda (Habat Soda) unatibu magonjwa mengi sana, kwa anayejua naomba anisaidie ili niweze kuupata, pia mafuta yake!
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Heshima kwenu wana JF, Mimi ninashida moja ya kuwa nikinywa maji mengi sana maana inaweza kufika saa 4asubuhi nimeshakunywa kama maji lta 4. Ila nikikaa baada ya muda kichwa kinaanza kuniuma...
0 Reactions
82 Replies
21K Views
Upasuaji kwa akina mama kwa sasa umekuwa ukiongezeka kwa kasi sana.tofauti na miaka ya nyuma. Je, tufanyeje kupunguza tatizo hili kwa akina mama hawa?
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Ni nini husababisha mtu akijisaidia haja KUBWA hutoa harufu kali lakini wakati huo huo mwingine akijisaidia haja KUBWA haitoi harufu!?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari zenu wapenzi, Naomba kujuzwa juu ya ugonjwa wa MUMPS kwa watu wazima. Tiba yake ni nini haswa na je, antibiotics ni sawa kuutibu ugonjwa huu?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kabla hutujafika mbali kama wewe hauna ndoa basi ishia hapa hapa. Elimu iliyopo ni kwa ajili ya walio ndoani tu. Wewe kijana nenda kacheza kiduku kwanza. Kuna mambo mawili: Kwanza – Upungufu wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu, Msaada maana naona nina dalili za kupata kiwalaza na nina miaka 20 sasa kuna dawa yoyote? Nawasilisha
2 Reactions
27 Replies
10K Views
Hello mwanajamii. Napenda kukushirikisha huduma nzuri yenye uwezo wa kumsaidia mtu ambaye anapambana na kisukari aina ya pili. Karibu upitie haya maelezo nliyoandaa kwa ajili ya jamii kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu... Kuna habari nimekutana nayo jana mtaani naomba kushare na wanajamvi... Nimemsikia mama mmoja akimtahadharisha binti yake kuhusu mchumba wake. Inasemekana...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Nimekua na uzoefu kwa free days ambazo mwanamke hawezi pata mimba siku 28. Lakini jamaa yangu mke wake anaenda siku 35 mpaka 37. Siku free ni zipi hapo manake jamaa anamwaga nje tu?
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Wadau, Elimu ya uzazi wa mpango bado haijamfikia kila mtu, kuna jitihada za makusudi zinazofanyika na watu binafsi, mashirika pamoja na serikali ili kuendelea kueneza elimu hii. WLF kupitia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Nimeambiwa kuwa mafuta ya mkia wa kondoo ikichanganywa na asali ni dawa nzuri ya kifua na mafua hasa kwa watoto wachanga.Ninatafuta sana mafuta ya mkia wa kondoo naombeni mwongozo...
0 Reactions
3 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…