Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Watu wengi wamekulia katika jamii ambazo wanaoamini dawa za mitoshamba hazina madhara na kuwa unaweza kutumia tu kiholela holela hata Kama huna ujuzi nao. Ukweli Ni kuwa mitoshamba Kama...
4 Reactions
16 Replies
599 Views
Habari madokta wa jamii.leo naomba kusaidia jambo Nina rafiki angu anaumwa sana fungus. Imeanza miaka mitatu iliyopita,ulianzia kwenye korodani na Sasa Iko kwenye njia ya mkojo. Ametumia dawa...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup...
2 Reactions
19 Replies
972 Views
Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono. Haya yote...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Molel ameonesha kutoridhishwa na utendaji kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete - Tabora hivyo amesema watafanya mabadiliko makubwa ya Menejimenti...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ujue ugonjwa wa afya ya akili Kwa watoto Afya ya akili ni ustawi wa kihemko, kisaikolojia na kijamii. Inathiri jinsi unavyofikiria, kudhibiti hisia na kutenda. Ugonjwa wa afya ya akili...
1 Reactions
3 Replies
704 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo...
3 Reactions
3 Replies
969 Views
Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya...
1 Reactions
6 Replies
569 Views
15 Amazing Benefits of Ghee Randy Fritz | February 27, 2014 | 0 Comments Modern science now verifies what Ayurvedic...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za muda huu Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa. Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Habari wanajamvi wote wa Jf?? poleni kwa majukumu yenu ya kila siku nina jambo/tatizoo napenda kushare n kwa yeyote mwenye ujuzi nalo tunaomba msaada kwa ufupi nina tatizo la ngozi (upele/fungus)...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wataalamu wa maswala ya afya njooni mnipe maujuzi apa... Leo ni siku ya 14 tokea nimeyatimba nilijichanganya kwa malaya mmoja mwezi uliopita katika harakati za mtu mweusi kujipatia utamu condom...
1 Reactions
13 Replies
935 Views
Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu. Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wanaJF Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media)...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Habari wakuu Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila...
1 Reactions
15 Replies
788 Views
Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima! Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
JF doctor habari. Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega. Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye...
0 Reactions
11 Replies
711 Views
Baadhi ya Maswali yaliyoulizwa na wadau Kuhusu tatizo la Ganzi kwa ujumla Habari wana JF, Naomba kujua kupata ganzi mwilini kunasababishwa na nini na tiba yake ni ipi? --- popoma yeye ameuliza...
2 Reactions
138 Replies
220K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…