Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

.......
14 Reactions
36 Replies
7K Views
Kwenu madaktari wa JF, nina swali eti kuna Asthma ya ngozi? Mtoto wangu anatatizo la kutoka rashes/vipele mwilini na vikimtoka vinamuwasha sana, nilimpeleka hospital tofauti tofauti akawa...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Nataka kuacha homosexually mimi ni gay, japo sijulikani naomba dawa ya kuacha kimya kimya kama nilivyokua sijulikani. Nilipotimia teenage nilianza kuwashwa automatically bila influence ya mtu au...
0 Reactions
185 Replies
26K Views
Utafiti mpya umeonyesha kuwa vyakula vyenye cholesterol au lehemu mfano mayai na siagi sio tishio kwa afya kama ilivyojulikana awali. Watafiti wamegundua hakuna uhusiano wa mafuta kuongezeka...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Ninashangaa mpaka karne hii ya 21,sisi wanaume wa kitanzania bado tunahusudu VITAMBI. Kwa wenzetu wa maghaharibi,ni laziness na wanaamini kwamba kitambi ni dalili ya magonjwa kama kisukari,blood...
2 Reactions
53 Replies
10K Views
sitamani tendo la ndoa,sitaki hata kumuona mume wangu tena natamani kusafili niende mbali kusikojulikana ,ninaujauzito wa miezi 2,je ninamatatizo yoyote ya kiafya?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wana jf naomba ushauri mwanangu wa kiume umri mwaka mmoja anatapika akila uji au chakula kingine akinyonya hatapiki tatizo nini wenye uzoefu tafadhali hospital nilimpeleka wamenopa dawa ya...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naombeni ushauri kwa anae fahamu dawa ya kumfanya mtoto apate hamu ya kula. Mimi nina mtoto anaelekea miezi 9 sasa lakini kadri umri unavyoongezeka ndivyo anavyozidi kupunguza hamu ya kula chakula...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wasalaam wakuu, Naomba kujuzwa kama kuna athari zozote za kiafya mtoto anaweza kupata endapo wazazi wake wakafanya mapenzi wakati yeye bado ananyonya. Huku Umakondeni kwetu wanadai kuwa ukifanya...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kufahamishwa hili; Urine Pregnant Test inaweza ku-detect ujauzito wa siku ngapi? Asanteni.
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Ndugu habari, Kuna huu mtindo wa manesi kupiga makofi wajawazito wakiwa labour (usikatae hili jambo lipo) hasa kwa baadhi ya wanawake wanaochelewa kusukuma mtoto. Je, kuna faida gani...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimekuwa nikitokwa na chunusi kwa wingi usoni pindi ninapotumia matunda kama vile parachichi, fenesi, n.k mara kwa mara. Hivyo naomba ushauri wenu wadau
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau heshima kwenu, Wakuu nimejikuta kila asubuhi napata uchovu na usingizi mzito ingawa nawahi kulala kama saa moja usiku. Pia kichwa kinauma sana, najihisi kubanwa mafua. Note: sifanyi kazi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar wanaJF Natumain mu wazima wa afya njema Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu kubwa ni kutokana na tabia ya kudindisha ovyo ovyo pasipo kujali mazingira na sasa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wana JF, naomba kujua faida au madhara ya hii kitu inaitwa sauna
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habarini wakuu, mwanzo kabla ya 2013 nilikuwa na mwili wa kawaida badae nikaugua karibia miaka miwili sasa nipo kwenye recovery lakini mwili wangu bado umekondeana nashindwa kuelewa ni vyakula...
0 Reactions
14 Replies
24K Views
ZINGATIA HAYA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU ILI UWE MZIMA KIAFYA NA MAISHA MAREFU. 1 Usile chakula bila ratiba 2 usinywe maji baada tu ya kula(kunywa maji nusu saa kabla na baada ya kula) 3...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Salama wapendwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Leo mida ya saa 7 mchana hivi nilikuwa na mihadi ya kuonana na demu fulani hivi geto.Demu kaja geto ili tufanye yetu kule kutaka tu kuomba...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wakuu nimekua na tatizo la kutoka machozi mara nyingi ninapotumia kifaa kama simu au computer gizani nikiacha tu ndo napata tatizo hilo ila nikisema niendelee tatizo la kutoa machoz linakata
0 Reactions
1 Replies
1K Views
.........
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…