Habari wadau wa JF,
Naomba kujua; Je, ni vyakula vipi kwa mwanamke anaetarajia kupata ujauzito, au mwanamke anaejiandaa kutaka kupata ujauzito, Je aweze kutumia vyakula gani au dawa gani ili...
Nina ndugu yangu mmoja anauguwa ugonjwa huu wa UKIMWI, wiki kama mbili zimepita nilimpeleka kuhudhuria clinic yake.
Tulipofika pale alipewa huduma kama inavyotakiwa lakini katika mazungumzo yao...
Habari wana JF,
Nina matatizo mawili 1) ninawahi sana kufika kilele ninapokuwa katika tendo la ndoa, naomba ushauri wenu nifanyaje ili niweze dumu hata japo kwa nusu saa. 2) ninachelewa kupata...
Public awareness needed to curb trend - cardiologist
There are increasingly younger Tanzanians being diagnosed with high blood pressure because of the unhealthy lifestyles they lead...
Wana Jamiiforum, kama wiki mbili zilizopita nilibahatika kusoma habari za padri wa kanisa katoliki huko Bukoba. Kifupi alipelekwa Muhimbili na akalazwa ICU kwa ugonjwa wa kisukati na figo. Wakati...
Habari wanabodi
Nimekuwa nikitokewa na jambo ambalo sijajua kama ni ugonjwa au la. Nikiwa nasafiri na basi na tukafikia kwenye vituo vya "kuchimba dawa", hata kama Nimebanwa na haja ndogo kwenye...
Mimi ni mtaaram wa maabara ngazi ya certificate natafuta ajira ninauzoefu wa miaka mwaka mmoja ,ombi ningependa sana ikiwa dar kwasababu nipo na familia yangu hapa mshara maelewano na naweza...
NGO iliyopo Zanzibar inapokea na kuwatibu walioathirika na madawa, bangi, unga, pombe n.k. Kwa maelezo zaidi tumia namba hii, 0716121313.
Ada ni laki 2 kwa mwezi. Malazi, chakula, matibabu...
Samahani wana jamvi nauliza hvi maji ya sio salama mfano kwa kipindi hiki cha maji ya shida natumia maji ambayo kisima chake design kma kina backteria /fungus maana nlkimaliza kuoga nawashwa swali...
Naombeni ufafanuzi wana JF,nimesikia asali na ndimu/limao ni Dawa nzuri sana ya Mafua na kikohozi,vipi kuhusu asali ya nyuki wadogo ukichanganya na ndimu/limao?
Habari Jf , Naomba Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada, Mimi Ni Mwanaume Wa Miaka 36 Ambaye Nimesoma Mpaka Ngazi Ya Kati, Historia Ya Elimu Ni Kuwa Kidato Cha 2 Hadi 4 Nilikosa Ada Hivyo Kupata...
Wandugu,
Kama kuna jambo linakera katika mahusiano ya kingono ni kwa mwanaume kufika mwisho wa safari mapema sana. Ni jambo linalomkera mwanamke lakini nadhani wanaume ndiyo wanakerwa zaidi...
UTOAJI wa ushuzi, katika mazingira yoyote yale, umekuwa na matokeo tofauti katika jamii yetu ya Kitanzania. Watu wanaotoa ushuzi au kujamba mbele za watu, huonekana mbele ya watu hao kama watu...
Warning on fake make-up tainted by CYANIDE and other dangerous chemicals: Counterfeit versions of leading brands are being cooked up by criminals in squalid underground labs
Dangerous levels of...
Nna mwanangu ana umri wa miez,, wiki ya 2 sasa anasumbuliwa na viupele vdgovdgo,, vipele vinamtoka kwa wing sana maeneo ya mabegan had mgongoni,,, cha kushangaza anaanza kutokwa na vipele vikubwa...
Nina maumivu makali sana ya kiuno kwa muda sasa nimeenda hospital nimefanyiwa vipimo mbalimbali hadi XRAY nikapewa dawa kadhaa za kupaka na kumeza, leo cku ya tatu tangu nianze dozi lkn sioni...