Hello wana JF,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?....
Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....!
Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka...
Habari zenu wanaJF,
Naomba msaada; masikio yangu yanawasha sana. Nimetumia pamba stick kusafisha mara kwa mara ila hali ni ile ile, wala hayatoi uchafu ila yanawasha kwa ndani tu.
Habarini wandgu mimi nmbuliwa sana na maumiu ya kiuno haijalishi niko kwenye iku zangu sipo kwenye siku zangu hata nikijinyoosha nasikia maumivu ni mwaka sasa npata haya maumivu nimeshafanya...
Mke wangu alijifungua yapata wiki ya tatu sasa. Bahati mbaya, mtoto hakuwa riziki.
Sasa maziwa yamekuwa yanajaa na kumwagika. Afanyaje ili yakauke na yasiendelee kutoka?
Habari za Jumapili wakuu!
Kwasasa tuna mtoto wa kike mwenye umri wa miezi saba, juzi mama mtoto wangu kafanya vipimo kakutwa na mimba ya wiki tatu. Naombeni ushauri, hasa namna ya kuhandle hali...
Kuna mtu anapata black spots usoni vinakuwa na kusambaa usoni, huwa anasumbuliwa sana na mionz ya jua...ametumia mafuta mbalimbali hata wanayo tumia ma albino lakin hayajamsaidia...ushauri wa...
wakuu habarini za muda huu...
Kuna dawa naiskia sana ya nguv za kiume ambayo n mchanganyiko wa asali mdalasin na kitunguu swaumu. Je dawa hii inatumukaje?
Ni siku nyingi kidogo nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja hapa Tanzania lakini tangu nimeanza naye uhusiano sijawi kumpa hata shilingi yeye huwa anasema ananipenda sana na angependa...
Nipo Dar es salaam,
Nilitaka kupata mawasiliano au taarifa ya daktari wa ngozi au DERMATOLOGIST yeyote kwa hapa Dar au hata alieyeko DODOMA!
Nawasilisha.
Hello wana Jf,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?....
Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....!
Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka...
Habari wakuu...,
Kumekuwa na tetesi kuwa kimaadili ya Taaluma ya Udaktari, ni kwamba ikitokea daktari wa kiume anamfanyia uchunguzi wa kitaalam mgonjwa wa kike halafu daktari akapata mhemko then...
Hospitali ya Apollo kuendesha kliniki ya ushauri wa magonjwa ya goti, nyonga, bega na mfumo wa fahamu Dar
Kufuatia idadi kubwa ya Watanzania ambao mara kwa mara husafiri kwenda India kwa sababu...
Msaada jaman.
Tumemkata mtoto kilimi toka asubuh mpaka saa 7 hii mchana analia,aliyemkata amesema hakuna dawa kitapoa chenyewe,tumetumia njia ya kienyej, mwenye uwelewa wa dawa yoyote ya kutuliza...
Habari zenu wadau,
Mimi kuna kitu kinanitatiza. Kuna madhara gani mtoto kumlaza kifudifudi?ie. uso kuelekea chini?
Nauliza hivi kwa sababu mwanangu ukimlaza uso juu dakika 10 nyingi keshaamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.