Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hakuna kitu kinanipa shida kama kwenda kupima afya yangu na kuijua afya yangu, nimejitahidi sana kujipa moyo lakini nashindwa kabisa kupata ujasiri wa kupima, nakumbuka mara ya mwisho pale Mbeya...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa,,tafafhali naomba kujua tiba ya pimples usoni maana uso wangu una mafuta halafu una pimples ambazo ukizikamua zinatoka mafuta.....Kama kuna mtu anaejua tiba yake anifahamishe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari. Naombeni kujuzwa kwa anayejua. kama kuna uwezekano wa kujiunga chuo bila kuwa na cheti cha form four, na kama ipo ni vyuo gani vinavyotoa huduma hiyo?, manake nimeskia tetesi kuwa Kuna...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Ninawasalimuni wana jamvi wote. mimi nawaomba wataalam wa afya wanisaidie kwajambo hili, mkewangu hana kabisa hamu na tendo la ndoa tangu miaka 2, tatizo hilo lili mwanza mwaka1 baada ya kumwoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa mawazo yenu na ushauri kwa ujumla.mm huwa na sumbuliwa na kichwa sio mara kwa mara nilifanya vipimo mbali mbali lkn kichwa kilionekana hakina tatizo ndipo nilipo andikiwa kwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mke wangu amejifungua kama siku kumi hivi zilizopita. Je, yatupasa tukae siku ngapi bila kuingiliana?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Je CHLORAMPHENICAL EYE DROP Inaweza kuua mtoto aliyeko tumboni wa wiki 32 ikitumiwa na mama mjamzito?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mke aliyefanyiwa operation ya apendix anapaswa kukaa muda gani hadi kuanza tena kufanya mapenzi na baada ya muda gani anaweza kushika ujauzito!!!?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mtusaidie kuna ukweli katika hili? eti kuna mtu kanipa habari kwamba kunywa dawa ya kienyeji ya alovera inasababisha ugonjwa wa Ini ...ni kweli jamani?
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wiki iliyopita nilikuwa na mradi fulani maeneo ya vijijini mkoani Shinyanga. Katika pitapita niliona mmea fulani hivi una majani mapana yana miiba, na unatoa matunda fulani nayo ambayo yakiwa...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Naomba msaada wa kitaalamu, ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k. Naomba msaada.
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Je! Inawezeka kwa mtu group A aliyepoteza nusu ya damu yake kuongezewa nusu ya damu kutoka kwa mtu group O?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nasikia kuna mtu kafariki baada ya kumeza Panadol kwa kutumia Soda.. Kuna reaction gani hapo jamani hadi mtu anazidiwa na kisha kufa kisa Panadol + Soda?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
This Is Why You Should Be Putting An Onion In Your Sock At Night When You Go To Bed So, you know how there are always crazy old wives' tales that seem too good to be true, and don't seem to...
6 Reactions
13 Replies
6K Views
Msaada naomba tba ya kuondoa ukoko kwenye kichwa
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Je anatakiwa akae muda gani bila kufanya mapenzi? Naomba jibu jamani
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kitaalamu, Ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k. Naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada wakuu: Mtu wangu wa karibu ameathiriwa sana na losheni na scrub ngoz yake ni yenye mafuta imesinyaa sana na mafuta bado yapo naomben njia ya kusawazisha ngozi yake iwe kawaida hasa kwa dawa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Back
Top Bottom