Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Dr. Simoncini discovered that the cause of this terrible illness is a fungus and tried hard to persuade scientists how wrong are the actual theories on cancer. His therapy based on the strongest...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
jaman natumain mu wazima. mi ni bint ,nna tatizo la kupungua damu tangu mwez wa kwanza.nikitumia vyakula au dawa inapanda hata had 13,lakn nikiacha baada ya wiki kama tatu naikuta 9,,.nimepima...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
How CANNABIS can help cancer patients: Drug kills cancer cells and shrinks brain tumours, report reveals National Institute on Drug Abuse admits cannabis has medicinal benefits US guidance states...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Habari wakuu? Nimeamua kuomba msaada wakuu, Betri yangu imebakia jiwe moja. Naomba msaada please wa dawa ya kucharge bettry yangu mpaka najickia vibaya sana. Hivi kuna dawa yoyote ya asilia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada naomba kujuzwa! Chango ni nn, inasababishwa na nn na utajuaje kama una chango nini madhara yake na pia tiba yake. Nasubiri majibu yenu kwa wenye kujua hili tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
18K Views
Wependwa watu wa mungu habarini za asbh ,ni yangu matumain kuwa mungu kawaamusha salam cku hii, Kuna hali imenitokea ndg zangu takrbani mwezi 1 na zaid, nimekuwa nikiwashwa mwili sana hasa...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Wakuu,naomba elimu.Kwa nini ndoto ninazoota haziendelei/hazifiki mwisho wake? Na mara nyingi hubadilika sana (ndani ya ndoto moja[sijui niite usingizi mmoja? yaani kusinzi mara ya kwanza kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani madokta hebu mnipe ufafanuzi kuhusu hili tatizo: Nimelala salama, usiku nikaamshwa na maumivu ya jicho kama vile limeingiliwa punje au mchanga, kujitazama limejaa tongotongo kuliko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wanajf wenzangu ama baada ya salamu naomba munielimishe au munijuze mwanangu ana miezi mitano na nusu ameanguka bahati mbaya kutoka juu ya meza mpaka chini hana alama yoyote lkn ana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huko ugaibuni bange ina uzwa kama njugu na tena inatumika kutibu maradhi mbalimbali. Lakini sigara kwa upande mwingine ndio inaongoza kwa kusababisha vifo vya cancer. Je Bange ni salama zaidi kwa...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Polen na majukumu wadau,mwenzenu ninapatwa na maumivu makal wakati wa kwenda haja kubwa,haja inatoka ngumu yenye makamasi mengi na humegukameguka na mara chache huchanganyana na damu kwa mbaali na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba msaada nina mtoto wa miezi mitatu na wiki moja huwa ana tokwa na jasho miguuni na mikononi hata wakati wa baridi ....Naomba kujua kwa wale wataalamu wa magonjwa ya watoto tatizo kuwa ni nn
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Habari wakuuu naomba mnisaidia wapi ntapata maana naka mwili kadogo na bmi ipo chini kidogo
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari wadau,naomba ushauri wenu nina ndugu yangu anasumbuluwa na kuvimba miguu kuanzia kwenye macho ya miguu kushuka chini inakuwa kama matende vile,tumepima vipimo vyote majibu hayana ugonjwa na...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
mimi ni kijana wa miaka 23,nilizaliwa nikiwa na afya nzuri na sikuwa nasumbuliwa na magonjwa nilipoingia shule ya sekondari nilisumbuliwa na vidonda vya tumbo kuanzia 2006 mpaka 2010 ambapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Matunda na mchanganyiko wa mboga ya umbi jani ni moja ya maajabu makubwa yafanyayo kazi ndani ya mwili wa mwanadamu ya Kurudisha (boady renew), kujenga mpya (boady restore) na Kuhuisha (boady...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Wasalaam ndugu wapendwa! Kwa ndugu wakristo bila shaka mko katika pilika pilika za sikukuu ya Pasaka! Bila story ndefu leo napenda niseme kidogo kuhusu ugonjwa wa PUMU (Asthma) na tiba ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Naomba kufahamu juu ya hili ili na watu wengine wajue pia kwa anayefahamu kama kuosha kwenye uke kwa kutumia sabuni kuna madhara? Je kusipooshwa kwa sabuni vp kuhusu harufu hasa kama ametoka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mama yangu anaumwa sana miguu na kiuno anapata maumivu makali sana. Alipimwa KCMC akaambiwa mifupa kwenye uti wa mgongo imelika ndiyo maana anapatwa na maumivu ya viungo na hakuna dawa ya kutibu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom