Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nilikuwa napenda kujua kama maji ya moto yanatibu ugonjwa wa ngozi ambayo unaitwa psoraisis - kwani nimeshatumia dawa nyingi tu na sikupata majibu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The secret to staving off diabetes? Eat four eggs a week and plenty of cheese and yogurt +3Regular consumption of eggs cut the risk of developing type 2 diabetes by a third, according to a new...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina mtoto wa kike ana miaka karibia mitatu sasa,tatizo lake kubwa ni mifupa yake haina nguvu kabisa!miguu kama inapinda kwa ndan!vidole vya mikono ukivinyoosha analia sana,magoti kama yamevimba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini zenu! Jamani niwaombe msaada wa tiba ya tosess zimembana mke wangu hawezi kula wala kunywa kitu ni shida sana! Pls naomba kujua chanzo cha ugonjwa huu! Pia mwenye kujua tiba ya kudumu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina miaka 29 sasa. Bado nimepanga.. Mchumba kapata ujauzito bila kutarajia. Anapanga aje dsm.. Nadaiwa kodi.. Kiwanja nimenunua lakn hata tofal sjaweka. Wadada niliokuwa nao wanajua nitawaoa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
nina tatizo la Kutokwa jasho sana,....lakini pia Jasho linaharufu kali na mara nyingi huleta rangi makwapani katika shati hasa jeupe,ni njia gani za kuondoa tatizo hili?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
habari wana JF doctor, naomba kujulishwa na wataalam wa hapa kuhusu P2 dawa inayotumika ndani ya masaa 72 iwapo umefanya unprotected sex siku za ovulation,je hii dawa ikitumika wakati tayari una...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyo hitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni mnene...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku. Leo napendelea kushirikisha jamii...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati...
8 Reactions
185 Replies
45K Views
Hello Mwanajamii! Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vema katika kazi zako za kila siku. Katika utendaji bora wa kazi unafuatana na utendaji bora wa ubongo pia. Ubongo wa mwanadamu hufikiri...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Dawa zinazo tiwa ndani ya matunda na mboga zinaweza kudhuru Mbegu za uzazi Kwa wanaume ambao wanao kula viwango vya juu vya Hayo Matunda na Mboga. Na kulinganisha na nusu manii kuhesabu ya watu...
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Habari za leo jfm doctors..nina tatizo la polycystic ovary doctor kaniandikia duphaston nlipofika nyumbani nikaanza MP. Je? Naweza kuanza dose au mpaka nimalize Mp?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
TAKWIMU *Wagonjwa milioni 22 ifikapo h2030 ikilinganishwa na milioni 14 katika mwaka 2012. WHO *Asilimia 80 wanafariki dunia kutokana na kuchelewa kupata huduma ya matibabu. OCRI*Watu 44,000...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mke wangu anapata tatizo la kushikwa na misuli mara kwa mara wakati mwingine anaweza kustuka usingizini na kukuta misuli inavuta hasa ya nyuma ya miguu chini ya goti, begani na wakati mwingine...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Guys naombeni msaada. Nina tatizo la kutoka mabaka kwenye ulimi ni kama miaka kumi sasa nitumie dawa gani tafadhali! Ahsanteni!
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari za sahizi wakuu. pasipo kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye ishu husika Nina dada yangu amezaa mtoto mmoja,baada ya kuzaa akaji ingiza kwenye uzazi wa mpango. njia anayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao huenda hawatapata nafasi ya kusoma gazeti la Tanzania daima la leo (7/02/2013), kuna makala nzuri kuhusu mada tajwa hapo juu. Makala hii ktk gazeti husika imeandikwa na NASRA...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Mimi ni msicha wa miaka 26 .Nilienda hospita kwa kusumbuliwa na tumbo. Nilipopimwa nikaambiwa nina endostrium na polycystic ovaries..nimetumia dawa lkn bado Naomba msaada wenu tafadhali
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Back
Top Bottom