Wakuu naomba mnisaidie kila ifikapo saa nane usiku mwanangu wa kiume wa miaka saba anapiga kelele sana kama kuna mtu anayemvamia.
Naomba mwenye msaada wa nini kisababishishi anisaidie. Ili...
Wadau heshima yenu,
Nina tatizo japo sio la muda mrefu sana, katika maeneo yetu ya uzazi wanaume. Moja ya sababu ninazohisi ni kunywa mara kwa mara dawa za...
Ndugu,nimependa ku-post hii taarifa kutokana na kuwa mmoja wa mashuhuda wa jinsi dawa hii inavyotibu. Kwa kifupi usikate tamaa kwa ugonjwa ulionao,hakika kuwa na imani na dawa hizi kutoka FOREVER...
Habari wana jf,
ninaswali kwamba je, mama ambaye ananyonyesha mtoto (labda miezi 3, 5, mpaka 8) akiwa anafanya mapenzi na mumewe kipindi hiki anam bemenda mtoto nikimaanisha mtoto hatakuwa anakua...
Ni taarifa ya kusikitisha, kushangaza na kuudhunisha lakini ni kweli
Kwa katika kizazi hiki cha dotcom cha sayansi na teknologia, kizazi cha Ipad, smartphones ambapo karibia kila mtoto mpaka...
Ndugu wanajukwaa habari za kazi? Natumai wote mu wazima. Nina mpenzi wangu ambaye anasumbuliwa sana na maumivu kuanzia kwenye magoti kushuka chini .
Tatzo ni la muda sasa kama mwezi, anapata...
naomba majibu, kwa sababu wapo yanayotoka kwa kasi, yapo ya kutoka kwa kasi ya wastani pia kuna nyingine huchuruzika bila kasi yoyote. Je utofauti huu unamaana yoyote ktk uzazi.
Wakuu naomba msaada maana nimezungumza na watu kadhaa kuhusu hii njia ya kuzuia mimba kupitia tarehe lakini inanipa shida maana kila mtu ananitajia tarehe zake na wa mwiso alinambia ni siku ya...
UKAVU katika midomo ni tatizo, ambalo huwakabili watu wengi bila kujali jinsia wala umri.
Pamoja na kuonekana ni la kawaida, lakini hukosesha raha na kumfanya mtu ajihisi kupoteza mvuto wake...
Wakuu wasalaam,
Tafadhali naombeni kujuzwa sababu inayopelekea tatizo la mtoto kuzalia akapatwa na shda ya kupumua vyema na kulazimu kuwekewa oxygen haraka ili kumsaidia kupumua.
Na je...
Matumizi ya kila siku ya dawa za kupunguza maumivu kwa jina Paracetamol huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo ,kiharusi na kusababisha mtu kuaga dunia mapema ,utafiti umeonya.
Utafiti huo umebaini...
Nina elim kidogo kdatu cha nne,tu,ila nina tatzo la kichemba yani wanakaita kajembe,haka kapo juu ya ktovu,ukipapasa tu utakaona xx mm hakapo na waga nasikia maumivu kwa ndan na mda mwingne nguvu...
Wapendwa poleni kwa majukum nina Ndugu yangu ana watoto mapacha wakiume na wakike huyo wakiume yuko fit Alhamdulillah ila nahuyu wakike alizaliwa na matatizo yamoyo kwa sasa...
Naomba mnisaidie wana JF,
Hivi wazazi wote wawil wenye Albinism, kuna uwezekano wa kuzaa mtoto asiye Albino? Ikiwa ni kwel inawezekanaje?
Nisaidien ndugu zangu..
Naomba mnisaidie, mimi ni mjamzito wa miezi 7 nina tatizo la kiungulia toka mimba ina miezi mitano, haipiti siku bila kusikia hiyo hali kiukweli nateseka mnoo. Kama kuna mtu anajua dawa tafadhali...
"Heshima kwenu wa kuu"
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,
Ni kweli kama ilikua mchana, na kujifungua ni
mchana?
Nakama ilikua usiku, na
kujifungua ni usiku?
Mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu?
Naomba kujua faida na hasara za kutumia dawa za kuongeza nguvu erectro mg 100. na dawa ipi nzuri naweza kutumia kunipa nguvu ya kupiga bao tatu nikiwa na age 50?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.