Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu na heshima kwenu wana JF, Leo nimeona niweke wazi tatizo langu baada ya kusumbuka kwa mda mrefu bila kupata suluhisho katika idara ya mahanjumati.Nina tatizo la mda mrefu la kuchelewa...
0 Reactions
45 Replies
20K Views
Habari za weekend, Jamani nina rafiki yangu ana mimba ya miezi 8 na nusu ila tangu miezi saba anasema uke na mkund* vinamuuma huu kama anavutwa kwa ndani, ni maumivu yanayomnyima raha. Ni mimba...
0 Reactions
5 Replies
53K Views
Ndugu, mke wangu ni mjamzito. Makadirio ya kujifungua (due date) ilikuwa ni tarehe 10.03.2015 na kwa mujibu wa vipimo vya ultra-sound ni tarehe 13.03.2015.. Sasa muda umepita na hana dalili...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Jamani uume wangu imekuwa ni kawaida hausimami kila asubuhi, na kwa upeo wangu mdogo, mwanaume anatakiwa asimamishe kila asubuhi.. Msaada tafadhali!
0 Reactions
42 Replies
15K Views
Habari JF Doctor, Nina rafiki yangu ana mtoto wa mwaka na nusu na tangu apate huo ujauzito hajawahi kushiriki tendo la ndoa mpaka sasa. Je, kwa muda aliokaa kuna madhara kiafya? Nawasilisha...!
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari za Jumapili, Kuna mtu alikuwa anamsafirisha mgonjwa ambae tayari alikua Mwathirika wa VVU. Sasa kwa bahati mbaya gari likapata ajali na wote kuumia vibaya kiasi cha kuvuja damu nyingi...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
tatizo la figo kuwa na mawe tiba yake ni ipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Celery (figili) Juisi ni kinywaji bora na maarufu duniani, lakini ni vyeme ukajua juisi ipi ina faida mwilini na ipi haina faida yoyote. Katika zama tulizonazo, kumezuka aina nyingi za...
1 Reactions
24 Replies
25K Views
Salaam, Naombeni sana msaada wa kupata daktari atakaemtibu baba yangu anasumbuliwa na uvimbe kooni (Goita).. Nimetafuta huduma sehemu nyingi but hajapata nafuu nahisi the best option ni kufanyiwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naombeni msaada maana mara nyingi nnapokua nafanya sex na mwanamke nifikapo mwisho namwaga shahawa nyingi sana ambazo zinanifanya nisipate hamu ya kurudia tendo tena ndani ya muda mfupi. Nashindwa...
0 Reactions
11 Replies
16K Views
Naomba kujua kuhusu mmea wa mjohoro ndo upi na unatibu magonjwa yapi
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Jamani, msaada. Ametumia norplant tarehe 12.03.2015. Je lini, when to have unprotected sex. Tukutane baada ya siku 2, 3, 4, 5. Help
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu? Bila shaka mko salama. katika pita pita nimekutana na mjadala katika site flani hivi watu wakijadiliana juu ya viability ya vidole (pichani) kutofautiana kwamba inaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wana JF. Kuna mtu anayefahamu maadhimisho ya Siku ya Figo duniani yatafanyika katika Mkoa upi na Hospitali ipi kwa mwaka huu? Kwa mwaka Jana kwa pale Arusha waliiadhimisha katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ KWELI ni maajabu! Yule mgonjwa ambaye mpaka sasa, madaktari hawataki kumtaja jina, aliyelazwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Hospitali ya Taifa Muhumbili...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 31, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Infective endocarditis is a form of endocarditis, or inflammation, of the inner tissue of the heart, such as its valves, caused by infectious agents. The agents are usually bacterial, but other...
1 Reactions
2 Replies
717 Views
http://www.african-sweetheart.com/2015/03/health-female-hygiene-and-other-honest.html?m=1
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Invalid post ID misused by another user
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Ni dawa gani huweza kurudisha uwezo wa mwanaume kumpatia mwanamke mimba?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom