Ni kwa muda mrefu nilisumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa vidonda vya tumbo..hakuna dawa ambayo niliisikia,niliambiwa,niliona ikitangazwa kwenye media mbalimbali ambayo sikuinunu a bila kujali...
hbari wanajukwaa. mke wangu ana kitu kigumu ukibinya binya tumbo unakifeel . juu kidg y kitovu. size yake kama 7cm n upana 4cm. hakionekani kw nje na hakiumi ila akilalia tumbo kuna maumivu...
Warts inaweza kutokea kwenye mikono. Sehemu zilizoota vinundu ni vinyama vilivyoota na ukiviangalia kwa makini vinamwonekano kama taulo.
Ni ugonjwa ambao pia unaweza ukatokea kwenye kiungo...
kama unaweza kunisaidia nisaidie kashfa na majungu hayajengi tatizo langu huwa namwaga sperm zikiwa zimeshikamana yaani ni kama mafuta ya mgando ndani ya majimaji au mda mwingine bila majimaji...
Habari wanajamvi! Yapata miezi 6 sasa toka nianze tokwa na vipele hospitalini, tube nyingi na sindano nimetumia bila afadhali. Kuna msamaria akanishauri nitumie dawa aina ya BBE, nilitumia ikanipa...
Wana Jf habari za mchana...
Kutokana kukaa sana ofisini nimekua mvivu na nakosa mdaa wa mazoezi...kitambi kimechomoza na knatia aibu, naomba dawa mbadala ila yenye garantie kupunguza kitambi...shukran
Je wajua ku socialize kazini ni muhimu sana kwa afya yako wewe mfanyakazi? Ku-socialize kazini na wafanyakazi wenzako kunakuondolea stress kwa kuufanya ubongo wako kuchangamka.
Hivyo wale wenye...
Nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa Kidoletumbo hakina umuhimu ndani ya mwili wa binadamu zaidi sana ni matatizo tu pale kinapojaa mchanga na mawe, na hata kusababisha kifo kikipasuka ndani ya...
Kama kuna kitu kama nyoka kinatembea tumboni(kama nyoka dhaifu) upande wa kushoto na hasa wakati mtu anapokaa au kuinama(folding of stomach) ni nini?Hakuna maumivu ila 'kero'
Ewe dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au...
Watu wanaolala kwa zaidi ya masaa manane kwa siku wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kiharusi,utafiti umesema lakini wataalam hawajua sababu yake.Utafiti uliofanywa kwa takriban watu...
Habari yako,
Natumaini u mzima wa afya, nina mtoto wangu ambae alitahiriwa Ijumaa, lakini naona amevimba kwenye ile ngozi ya kawaida, Je nimsaidiaje? Hospitali nimeambiwa nimpake Asali, kidonda...
Sleep plays a vital role in good health and well-being throughout your life. Getting enough quality sleep at the right times can help protect your mental health, physical health, quality of life...
Kuna taarifa za kustusha kuhusiana na upatikanaji wa damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Hali ni mbaya. Inaelezwa kuwa hivi sasa, hospitali hiyo ambayo ni ya rufaa ya taifa imekuwa...
Did you know that worldwide, 80%of all infectious disease may be water related?
Did you know that diarrhea diseases traced to contaminated water kill approximately 2million children and cause...
Habari zetu wana JF .... nataka kuandika makala fupi kuhusu Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)
what is GERD
Gastroesophageal reflux disease (GERD) is a condition in which the stomach...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.