Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nataka kushika mimba nimejaribu sana lakini sijapata. Mzunguko wa siku zangu ni siku 33 hadi 34. Je hapo siku zangu za hatari kushika mimba ni zipi?
1 Reactions
57 Replies
16K Views
Nimepitia hii article nikasema ni share na wana JF Doctor Forum =========== Marijuana kills brain cancer, study confirms The active molecules in cannabis kill brain cancer - another study has...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau,nifuraha yangu kupata nafasi ya kujumuika na nyie humu jf,mm nilikua naomba kama kuna anayejua madhara ya kunyoa ndevu kwa kutumia magic shave atujulishe,ni hayo tu wadau karibuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mitral valve prolapse Mitral valve prolapse (MVP) is a common cause of a heart murmurcaused by a "leaky" heart valve. Most cases of mitral valve prolapseare not serious and only need to be...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Miaka ya hivi karibuni watanzania tumeshuhudia mauaji makubwa ya kikatili ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Hivi tujiulize, serikali imeshindwa kukomesha tatizo hili? Je, jeshi la polisi liko wapi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza ovulation au kupevushwa kwa yai la mwanamke huwa kunachukua muda gani masaa mangapi au siku ngapi. Ukijisikia kukoment sawa haujisikii naomba upite
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu wapendwa naomba kufahamu hospitali nzuri inayoweza kupanga vyema meno yaliyokaa vibaya pamoja na gharama na je naweza kutumia bima kugharamia matibabu hayo?
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Ni kweli kwamba ukianza siku yako na na juisi ya limao ya vuguvugu na asali kijiko kimoja, itakusaidia kuondoa baadhi ya uchafu katika ini, kuongeza uwezo wa mwili kupambana na magonjwa, na...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Wakuu tunapenda kujua madakitari wa Wanaume wa kutibu magonjwa kama hayo, Kuna Ndugu yangu anasumbulia na hilo tatizo naombeni masaada wakuu humu ndani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wewe km unataka kupungua kitambi uwe na six pack bila hata kuangaika kufanya mazoezi magumuu ni rahisi tu km ww unafanyakazi andika barua ya kuacha kazi halafu njoo mtaani tuungane kubeba bahasha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada jaman chuo gan cha serikari ambacho ni bei nafuu kwa Ada yake na nikizuri cha clinical officer
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu? Naombeni msaada wa kitaalam plz
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Kwanza kabisa heshima mbele! Samahan wadau nilitak jua km ni tatizo au ni kawaida kwa mwanammke siku za kupat hedhi kubadilika badilika hapa na maana kuwa mwez huu anaweza pata hendhi tareh 15...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanasayansi wanasema sasa inawezekana kufanya transplant ya kichwa/mwili. Kwa maneno mengine ni kwamba, wanaweza kuhamisha kichwa cha mtu na kukiweka kwenye mwili mwingine. Kwa hiyo kama kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi nina tatizo la kukujoa mkojo wa njano kwa muda wa miaka kama mitatu sasa na ninaumwa tumbo upande wa kushoto, nimefanya vipimo mara mara kadhaa lakini naambiwa sina tatizo lolote...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Leo wanaume wa makamo na hata vijana wanapatwa na maradhi au matatizo ambayo zamani yalikuwa ya wazee wa miaka 60-70, kuendelea… Kati ya sababu ni; 1. Namna tunavyokula. Vyakula vyenye...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Nina tatizo kubwa la tumbo kuuma kwenye kitovu, huu mwaka wa 20 sasa sijui nini. Dawa za tembe zishashindwa. Pia vitu vinanitembea mwilini.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wu Xiaoyan, a 22-year-old woman from China, has a serious deformity of her face. She was called an Avatar girl... Wu Xiaoyan's disease is called fibrous dysplasia (it causes growths in bones)...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari If Jamani Mimi Leo ni siku ya tano cjapaja kwenda na sijisikii kwenda chooni kujiasaida haja kubwa. Naombeni ushauri wenu jamani nifanye mini. Maana sio kawaida yangu kukaa cku zote hizo
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom