Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani, nisaidieni ninunue dawa gani au cosmetic creams gani effective za kuondoa huu weusi wa ngozi wa kuzidi katika makwapa, magoti, elbows, and in-between the thighs? Yaani, hii inanisumbua...
0 Reactions
31 Replies
45K Views
Magonjwa ya mfumo wa njia ya mkojo na figo ni kati ya maradhi yanayowasumbua watu wengi duniani. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na kukojoa mkojo wenye harufu mbaya au mkojo wenye rangi ya maziwa...
2 Reactions
0 Replies
9K Views
Je, kuna uwezekano wowote wa kutibu HyperTension? Kama upo, naombeni utaratibu mzima.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellow,habari? Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima! Shukria,
0 Reactions
42 Replies
34K Views
Mhusika alishauriwa kutumia mkongoraa kama sikosei na rafiki yake ambaye ilimsaidia kwa matatizo hayo, lakini huyo rafiki ameshindwa kutaja inapatikana wapi kwa kuwa yeye alipewa tu. Kama kuna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Bima ya afya imekuwa inajitanua kila siku ila kwa bahati mbaya huduma zake kwa baadhi yetu ni mbaya sana. Yaani ni sawa na wizi wa mchana. Tunakatwa hela kwenye mishara yetu lakini hatupati...
0 Reactions
121 Replies
36K Views
Wanajamvi habari zenu Naombe ushauri kuhusu kunyonya uke wa mpenzi wako Hii ni sawa? Na inaruhusiwa kiutalaamu naombe ufafanuzi kuhusiana na hili plizzzz... "Natanguliza Shukrani...
1 Reactions
51 Replies
29K Views
dk mimi ni mpigaji wa punyeto nina miaka miwili na nusu, ninachotaka kujua mm ni kwamba je ninaweza kuwa nimepata madhara yoyote makubwa kamaniki amua kuacha kwa muda hiu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana bodi kwanza salamu. Baada ya hapo naomba kuuliza ni hospitali gani nzuri au Daktari bingwa wa maumivu makali ya mgongo yanayopelekea kuishiwa mate kabisa na koo kubana kwa hapa Dar Es...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ninampenzi wangu anahisia kali sana yaani akigusana tu na mwanaume hisia zinapanda atakama wakisalimiana kwa kushikana mikono. Mfano nikitaka kudooo nae nikimshika tu mkono analegea na anakuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari za weekend wakuu, poleni na majukumu. Naomba nitangulize tahadhari kwa asiyekuwa na wazo/mchango juu ya hili asicomment chochote au kutoa ushauri wa kubeza maana wengi hufikiria kila kitu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wandugu naombeni tubaadilishane uzoefu na mtazamo kuhusu hili swala?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada, Mimi hapa mjini ni mgeni nina wiki mbili tu nimekuta mengi mapya. Moja linalonishangaza na kuniduwaza ni huu utaratibu wa kuchamba kwa kutumia toilet paper. Je, hauna...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa ripoti za Shirika la Afya Duniani vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, kitaalumu Noncommunicable Diseases (NCDs) vinatarajiwa kuongezeka maradufu ifikapo mwaka 2030...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wanajf nasumbuliwa ganzi kwa muda mrefu sana naomba mnisaidie tiba yake au ni hospital gani au dokta gani ni mtaalam wa ugonjwa huu. Dawa nimetumia sana na kuna baadhi ya watu wanahusisha ugonjwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za weekend. Naanza kwa tafiti ziliyofanya tangu mwaka 2008 hapa nchini Tanzania (Tanganyika,Unguja na Pemba).Nilibahatika kufanya mahojiano na wadada/wamama wengi na kuwaaliza ni kitu gani...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Dr naomba kuuliza kwa nini napata maumivu ya tumbo ikiwa pamoja na kuharisha nikila tunda la nanasi?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani wapendwa jf DOCTOR naombeni kwa hili nitumie dawa gani ili nijinusuru kwani kinauma hasa upande palipo na moyo ikiamua kuuma napata shida sana kwani hata kuvuta pumzi huwa shida, niko kwa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Huku kulala nikiwa nimevaa viatu inatokana na adha ninayoipata mara baada ya kuvua viatu nikirudi nyumbani,huwa nawashwa na kuamua kujikuna kiasi cha kutokwa na damu. Naombeni ushauri niondokane...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom