Nina mdogo wangu wa damu kabisaa ananifata ambaye ameolewa,jana kaja kwangu ananiomba nimshauri na tatizo lenyewe nii."
Akisex na mumewe wanafanya vizuri inapofikia mumewe ana ejaculate.Sasa...
tumia kiungo cha tangawiz kwa kukisaga vyema kuchanganya na maji kwa uwiano stahili kwa maelezo zaid 0712505049 whats app gharama ni 5000 tu(elfu tano)
Habari zenu wadau, nina tatizo nahis kwnye mfumo wa mkojo au uzazi. Ninahic maumiv kutoka kwenye kibofu hadi kwenye mbavu upande wa kushoto. Kende naona km zmepishana urefu ya kulia imeshuka kdgo...
Ndugu wanajamvi wenzangu, kuna binti ni jirani yangu kanifuata kuomba ushauri kwa kuwa mtaani naitwa jina la Doctor akidhani mimi Doctor kweli kumbe jina.
Inasikitisha kwa umri wake, ila yafaa...
waungwana habari
kama kichwa kinavyosema kiukwel nasumbuliwa sana na tatizo hili la tumbo kias kwamba nakosa raha ya kujiisi ni mzima wa afya ..Nasema hiv kwa sababu maumivu haya ya tumbo si...
10 things Doctors Secretly Wish they could tell you
What your doctor is really thinking might shock you
A doctors time has always been a precious resource, so we need to make every minute...
Hafidh Masokola mwenye umri wa miaka 47, mkaazi wa Tabora amedai kuwa alitumia dawa aina ya Metakelfin miaka minne iliyopita kwa lengo la kutibu ugonjwa wa malaria, lakini dawa hizo...
Doctor,
Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 38 nimeolewa na nimejifungua mtoto wa kwanza nikiwa na umri wa miaka 29 na baada ya miaka saba nilijifungua mimba ya pili watoto wawili pacha.
Katika...
Ndugu wana wana JamiiForums,
Dada yangu ana mimba ya miezi 6 kasoro, ila majuzi chupa yake ya uzazi imepasuka na inamwaga sana maji mfululizo ukeni, ila hasikii maumivu na akaandikiwa sindano...
Habari za kazi,
naomba ushauri wenu juu la tatizo alilonalo mwanangu. nilikuwa namvalisha pampers lakini sasa zieanza kumtoa vipele. nimeacha kumvalisha pampers kw sasa, ni dawa gani ambayo naweza...
Utangulizi
Chungwa ni tunda la mchungwa. Ni kati ya matunda yanayovunwa sana duniani. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck. Ni jamii ya matunda...
Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 21, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba...
Heshima yenu wakuu!
Jana nimeenda Hospital kucheki Sperm Analysis na majibu yake yamenistua sana. Nimeambia sina Sperm, yaani siwezi tena mpa mwanamke Mimba, japokuwa nina mtoto mmoja wa...
Habari za Jumapili.
Kuna mtu alikua ana msafirisha mgonjwa ambae tayari alikua mwathirika wa vvu, sasa kwa bahati mbaya gari likapata ajali na wote kuumia vibaya kiasi cha kuvuja damu...
Jamani mwenzenu nina Tatizo la Uume wangu unapokuwa haujasimama basi huwa mdogo kama wa mtoto, tatizo na suluhisho ni nini?
PIA uume unaposimama ninapotaka kufanya tendo la ndoa basi Husinyaa...
Naomba msaada kwani sasa ni wiki ya tatu nilisafiri Sumbawanga kwa shughul za hapa na pale nilikuwa natumia vyakula vya asili.
Sasa toka nimerudi mjini napata tabu, Uume muda wote unasimama mpaka...
hbr zenu wanajf
mi nilpatwa na uvimbe km upele kwenye uume baadae ule uvimbe uliisha lakn uume ukawa unawasha sana sasa hivi nashangaa kila uume ukisimama au nikitizama uume nikijaribu kubonyeza...
Habar wanajf. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta dawa ya nguvu za kiume bila kujua kuwa chanzo nini, ila leo napenda niwaeleze kuwa"kuna mazoezi maalum ambayo ukiyafanya husaidia misuli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.