Huu ndo ukweli.
Wakati mwingine tukiwa wakweli me kwa upande wangu naona kama yaweza kuwa msaada, hii kitu gambe me naipenda sana ila nimegundua kama vile yenyewe hainitaki, 99% nakuwa si...
Unaweza kuwa na kila kitu hapa duniani lakini kama afya yako ni mgogoro basi ujue una tatizo... mfano huu unaweza ukaufanyia kazi au ukaachana nao sijakulazimisha......... nilijikuta nina uzito...
Wana jf wote habari za leo, mi ninaishi Arusha kuna mtoto wangu macho yanawasha sana amesugua mpaka ngozi ya macho umechubuka. Sasa sijui tatizo ni nini naombeni kujua clinic nzuri ya macho hapa...
Wadau,
Naandika kuomba msaada kwenu kwa sababu sasa hali hii kwangu imekuwa too much. Miaka miwili iliyopita nilikuwa na uzito wa kilo 94 sasa umeongezeka hadi kufikia 118 licha ya mazoezi...
Habari zenu madaktari, manesi kwa wakunga wa jadi.
Takribani miezi kama miwili mitatu hivi nimekuwa nilisikia hali ya usingizi kupitiliza, naeza amka asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini...
Awali:
Kabla ya yote napenda kuanza kwa kusema kuwa albino ni binadamu sawa na binadamu wengine waliozaliwa na hitilafu za kiafya za kurithi kutoka kwa wazazi wao kama vile hitilafu/ulemavu macho...
Habari nzuri kwa wanajamvi,kwanza poleni na mihangaiko na matatizo ya kila siku,kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo nimepata dawa ya asilia yenye kuponya kutoka kwa baba mmoja...
Wapendwa naimani wote mu wazima wa afya ya kutosha! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, hapa nilipo nimekwisha ng'oa meno yapatayo matano na sasa nina maumivu makali ya jino japo halijatoboka...
habarini wadau,,, kuna jamaa angu amekuwa akiniulizia anaweza kupata wapi dawa za kupunguza unene kwani anaona anapoelekea siko na yeye hapendi unnene kabisa msaada wa kitabibu,kiushauri unahitajika!!
Habari za asubuhi wapendwa, nilikuwa mnene japo siyo sana nikagundua kuwa uzito wangu hauendani na utefu wangu ndipo nikaanza kujipunguza na sasa uzito wangu ni wa kawaida ila cha kushangaza...
By In2EastAfrica - Fri May 27, 9:27 pm
The government of India yesterday signed an agreement with the Ministry of Health and Social Welfare to enhance construction of Apollo Hospital branch...
More than 26 million American adults are living with kidney disease. Most don't know it -- Over 90 percent of people with signs of kidney disease are unaware of it. March is National Kidney Month...
Mambo vipi ndugu zangu wapendwa, nahitaji kujuzwa juu ya suala hili : Kuna mtoto wa mjomba yangu alikuwa na mpenzi wake lakini katika mazingira ya kutatanisha alipatwa na ugonjwa wa zinaa (STDS)...
Watu wengi wanapenda kwenda gym kufanya mazoezi,lakini wengi wao pia hushindwa kwa sababu mbalimbali kama umbali,kukosa muda,etc
Lakini usiwe moyo,kuna namna nzuri ya kufanya mazoezi ukiwa...
Wadau habarini, ninaomba msaada wa mawasiliano au ushauri wa vituo hivi vya sober house pale kigamboni, au msaada zaidi. Nina ndugu yangu ni mlevi kupindukia mpaka anataka kuwa kama chizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.