Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu.. Nina mtoto wa jamaa yangu anaumwa ugonjwa wa Sickle cell na ndio kwanza ana miaka mitatu. Anahangaika sana kushindana na crisis za uvimbe na maumivu makali sana anayopata...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Ni matumaini mpo salama Kwa muda wa wiki 2 sasa nimekuwa nikikojoa Mkojo wa njano sanaaaa. Nikinywa maji mengi unjano unapungua kwa muda tu then Unarudi. Jf doctors, tatizo hili linasababishwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba kuufahamu mti huu.inasemekana magamba yake ni Tiba Kwa tezi Dume.Kwa anaye ufahamu mti huu atujuze na atuwekee picha
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuna jambo limekuwa likinitatiza kidogo. Ni kuhusu hizi dawa za kuzuia virusi vya UKIMWI kwa wasichana waliobakwa! Sasa kama mtu kishabakwa maana yake tayari ana maambukizi ya virus halafu anapewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Unywaji pombe kali kupita kiasi, umetajwa kuwa chanzo cha upofu, huku uhaba wa madaktari wanaotibu ugonjwa huo, vifaa tiba vikielezwa kuwa kikwazo. Mbali na unywaji pombe, pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA UFUPI Mbali na unywaji pombe, pia kuvaa miwani ya urembo au ya kusomea bila kupata ushauri wa daktari, ni miongoni mwa sababu za kupunguza uwezo wa macho kuona. Dar es Salaam. Unywaji...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF, Dada'ngu anasumbuliwa na tatizo la uvimbe ndani ya kizazi. Amefanyiwa upasuaji mara 2 akiondolewa uvimbe, na mara hii uvimbe umerudi tena ameambiwa kama ataenda hospitali tena...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Maana Hospitali ya Temeke hadi saa hizi saa 11:50 usiku toka saa 10:00 usiku hakuna Daktari anaewaudumia wagonjwa je hakuna usimamizi au tathmini ya sensa Temeke hapa sielewi kwanini Daktaria wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na meno kwa muda mrefu.. Na nimetumia dawa nyingi bila kupata ahueni yoyote. Ila juzi kati nilisoma thread moja ivi ya Mzizi Mkavu nikaona jinsi ya...
4 Reactions
83 Replies
31K Views
wadau mimi ni mwanaume miaka 40. Tatizo langu ni kwamba sperm zinazalishwa kidogo sana kiasi kidogo sana.
2 Reactions
6 Replies
22K Views
Kwa aliye na matatzo ya uume mwembamba,Nina dawa inayoongeza maumbile ya umbo la uume,ni dawa ya mitishamba iliyo na uwezo wa hali ya juu,inaufanya ume kuwa mnene na kukufanya uinjoy mapenzi kwa...
0 Reactions
16 Replies
56K Views
habari wanajamvi,Mi nina tatizo la kuwashwa sana nikitoka kuoga has a nikijisugua ndo balaa linazidi,msaana kwa anaejua tiba ya hili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu Paracetamol, ambayo ni maarufu kwa jina la Panadol, tuliona kwamba dawa hiyo inapotumiwa kiholela, inaweza kusababisha madhara kwa viungo vya mwili kama vile...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Vyakula vya watu wengi wanaoishi katika miji hapa Tanzania ni vile vinavyotokana na wanyama kama nyama, maziwa, samaki, kuku, mayai, dagaa, soseji na vyakula vilivyotengenezwa kwa kutumia nafaka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hodi matabibu wa wa jf ..mi mgeni lkn pia nina shida...naomba kujuzwa maana na tiba sahihi ya endometritis
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dawa za Antibiotics Wagonjwa wanaotibiwa na dawa za viuavijasumu ama antibiotics mara kwa mara huenda wakakabiliwa na hatari ya kupatwa na aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ,watafiti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari jf. Nina mdogo wangu toka jana anaharisha maji maji yenye makamasi yenye rangi ya kahawia ametumia erthromine (sijui kama nimeiandika sawa) bila mafanikio Leo akatumia dawa iliyoandikwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naota nafanya mapenz na mpenz wangu aliyeko mbali karibia kila siku je hili ni tatizo?
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Ndugu zanguni hivi juzi niliishiwa nguvu na baada ya hapo kuanzia siku hiyo hadi leo siwezi kuongea sana pumzi zinanibana. Sasa wengine wanasema naumwa moyo wengine wananiambia ni presha nini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom