HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU!
Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya.
Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu...
Cancer, Dies When You Eat These 7 Foods, Time To Start Eating Them
thepinkbrain.co.zaJul 31, 2023 5:50 PM
Here is a list of 7 amazing foods which prevent the growth of cancer cells and the...
Habari zenu wana Jamii Forum… Natumaini sote tumesherehekea Eid vizuri wale Eid iliyokuwa mbaya kama mimi nawapa pole tupo pamoja Mimi ni member wa muda mrefu ila imebidi nije na ID mpya kutokana...
Mwanamke anapotibiwa kwa upasuaji wa Ectopic, na kupewa muda wa kusubili ili apate Mimba Nyingine., akipata Mimba Nyingine anajifungua kwa Njia gani?
Je ni kwa upasuaji au anajifungua Kawaida...
Kwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga...
Salaam , hakika kweli mfungo umekwisha, maongezi haya niliyashuhudia katika sehemu fulani ya starehe nikabakia kutahayari juu ya mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea katika meza jirani na nilipokuwa...
Nilikuwa napenda kujua tatizo la kuwashwa ndani ya uume pindi unapomaliza tendo la ndoa,unapojisaidia haja ndogo na hata ukiuminya linasababishwa na nini na tatizo linaitwaje?
1. Maji ya mvua
Kuna watalaam wanasema sio salama kwakuwa yana chemicalza huko angani
Kuna wengine wanasema ndo salama kwakuwa ni asilia, yamejichuja na yapo salama
2. Maji ya dukani
Haya...
Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu.
Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea...
Kama heading inavyojieleza hapo juu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilipimwa afya tangu 2012 nikaambiwa niko postive na nikaanziishiiwa dawa sasa inaniwia vigumu kupata mke wa kuoa kwa...
Habari
Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni.
Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua...
Mimi nina shida jamani naomba kama kuna mtu anajua au anamfahamu psychologist (Msaikolojia tiba) yeyote toka Muhimbili hospital akisaidiwa namba ake mimi niko huku tabora.
Kuna mgonjwa anaumwa...
UGONJWA WA BARIDI YABISI NI NINI?
Baridi yabisi ni neno la jumla kwa magonjwa au michakato mingine isiyo ya kawaida itokeayo kwenye viungo. Mamilioni ya watu ulimwenguni kote wanaugua aina fulani...
Nimekaa mda mrefu bila kufanya. Nikameita my wangu geto akaja. Nikafikiri itakua show show lakini asikuambie mtu mambo yakawa ndivyo sivyo.
nikaanza romance kama kawaida jamaa akasimama strong...
Habar wakuu ushauri wenu mke wangu siku yakujifungua presha ilikua juu sana akapigwa sindano yakushusha presha ndo kuweza kujifungua lakina baada ya akujifungua Bado presha ikawa juu kidgo...
Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba?
Mfano mwanamke...
Wakuu,ivi unapohisi umekuwa exposed kwenye mazingira au umefanya sex na mtu ukahisi ana HIV, kisha ukaanza LTD (pep) within 72 hrs. Lakn badae ukagundua ulie sex nae Hana HIV ila Ilikuwa ni hofu...
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini imekamata dawa aina ya MDPV , je dawa Ina madhara/hatari zipi kwa mtumiaji?
IFAHAMU KWANZA,
MDPV ni dawa ambayo Iko kwenye kundi la...