Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wana JF Wasalaam Aleykhum! Kuna habari miongoni wa Wanawake hasa wenye uwezo wa Kiuchumi kwamba wao hawapendi kuzaa kwa njia ya asili ili kuepuka maumvivu na uchungu wa uzazi. Pia wakizaa kwa...
0 Reactions
29 Replies
17K Views
Eti jaman first choice for typhoid n ip kati ya cpro na chloramphenical
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 22 ninasumbuliwa na tatizo la masikio yanauma kwa ndani na wakati mwingine yanatoa uchafu japo kwa kiasi kidogo(sio usaha). Ninaomba msaada, dawa gani nzuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari gani wakuu? Nahitaji vyombo vya kuinika kwa ajili ya matibabu ((Enema), tafadhali alienavyo ani pm
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nimepita hospital nyingi za serikali na private zinazopokea kadi za NHIF ila ninapo ulizia huduma ya macho naambiwa kadi ya NHIF haihusiki wanataka cash. Chakushangaza kila siku NHIF...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
25 Acid-Promoting Foods Check out this list to see if you could be overloading your body with potentially toxic acids. The typical American diet is full of foods like meat and dairy products...
2 Reactions
6 Replies
11K Views
HIV vaccine that transforms cell DNA brings fresh hope A radical new approach to vaccination seems to completely protect monkeys from HIV, US scientists report. Vaccines normally train the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanangu ana mwaka 1 na miezi 9 sasa lakina bado anatambaa tu na kusimamia vitu pasipo kutembea.wenzake walozaliwa pamoja hata nyuma yake sasa wanatembea lkn ye bado.Tatizo nini jamani mwenye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wakuu, wakati wa utoto wangu nilikuwa nimesikia ya kuwa magonjwa kama kisukari na cancer ni magonjwa ambayo mtu anarithi kutoka kwa mtu aliyewahi kuwa nao kwenye familia yake. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari...nasema haya nikijua kwa namna Moja au nyingine ntapata msaada..tatzo langu ni kwamba Mwanajeshi wangu amepindia upande kwa kushoto kitu ambacho kinanikera wakati wa mechi kwenye uwanja wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
​ JE WAYAJUA FAIDA NA MANUFAA YA KWARE NA MAYAI YAKE? Yai la Kware ni zawadi ambayo Muumba ametupatia kama chakula cha uponyaji. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya mtandao na Majarida...
0 Reactions
10 Replies
23K Views
Serikali ya mkoa wa Kigoma na WLF wazindua Kampeni ya Redio na Uhamasishaji Jamii kuwahimiza akina mama wajawazito wajifungue katika Vituo Vya Huduma za Afya. Serikali ya mkoa wa Kigoma na World...
9 Reactions
3 Replies
23K Views
Kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaoenezwa na bacteria aina ya TREPONEMA PALLIDUM.Ugonjwa huu ni hatarisana,huleta madhara makubwa ktk mwili wa binadamu.Madhara yanayotokana na kaswende mtu asipopata...
0 Reactions
3 Replies
42K Views
Hello dear members. Jamani nina babangu anaumwa takriban miezi mitano sasa. Shida ni kwamba maji na hewa yamejaa kwenye mapafu hafu yanamsababisha kukohoa kwa sana na kushindwa kutembea, yaani...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
KATIKA maisha, mwanadamu anapitia awamu mbalimbali za maisha. Kila awamu ya maisha inahitaji ulaji wa chakula cha aina yake. Mwili wa mtoto unahitaji virutubishi ili kusaidia ukuaji wa mwili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi soda ya CocaCola,fanta.nk zina quality ile ile Dunia nzima? Nipe Elimu ya hili suala tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
When it gets to the point where you can’t even remember the last time that you had sex because of erectile dysfunction, you need to get help. But what if you don’t want to spend thousands of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani wanajamvi naomba mnisaidie, nimeugua ugonjwa wa miguu kuwaka moto takribani miaka minne sasa, nimepima kila kipimo, nimetumia dawa za kienyeji za kila aina bado sijaona mabadiliko! ugonjwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba msaada wenu tafadhali, kwani mke wangu ni mjamzito wa miezi saba sasa. Ameanza kutokwa na mkojo bila mpangilio leo hii na wala haumuumi! Je ni hali tu ya kawaida au kuna...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
jamani wadau wa jamiiforum doctor naombeni ushauri,nasumbuliwa na kifua kinauma na kukohoa mbaya zaidi hata nikitembea nachoka haraka.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…