Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hili tatizo sijui ni langu tu ama tuko wengi. Nikilala chali ama kwa ubavu wa kushoto naota sana ndoto mbaya, nakabwa ama nalimishwa hata nisali kabla ya kulala ama niweke biblia kama hirizi chini...
3 Reactions
73 Replies
29K Views
ndugu zangu wapendwa,naombeni msaada mwenzenu tumbo linanikata chini ya kitovu mpaka sijielewi.msaada samahani nifanyeje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
'Ranjan Das, CEO and MD of SAP-Indian subcontinent died after a massive cardiac arrest in Mumbai recently. One of the youngest CEOs, he was only 42.' What killed Ranjan Das? He was very active...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Red scrotum syndrome ina tibiwa na nn na ni nini chanzo chake na kuna madhala ya kula chakula cha moto na tumai wote wazima!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini ,naomben ushauri mwanangu tangu amezaliwa ana wiki mbili .alikuwa analala vizur na kunyonya vizur..sasa kuanzia jana ameanza kulala saaana zaid ya masaa matano na kuamka ukimnyonyesha...
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Nina maelezo yakina juu ya kutengeneza juisi ya tangawizi itakayokufanya uchelewe kufika kileleni kwa zaidi ya dk 20 mpaka 30 na uwezo wa kurudia round nyingi zaidi napatikana hapa 0712505049...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Uvimbe wa kizazi kwa wanawake huwafanya wahanga kulalamika wanatumia gharama nyingi katika matibabu bila kupona. Dalili huendelea, wakati mwingine hali hubadilika na kuwa mbaya zaidi. Yafuatayo...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wakuu naomba msaada wenu,mke wangu kajifungua Jana kwa op tatizo ni kuwa tangu SAA 11 alipojifungua mpaka sasa mtoto hajanyonya mama anasema maziwa hamna. Nisaidieni tafadhari ndugu zangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba nisiwachoshe. Kumekuwa na habari, maneno au fununu kwamba Mwanaume mwenye uume mkubwa unaweza ukasababisha asinenepe(umamnyonya mwili). Je hiikitu inaukweli? Nihayo tu, nawakaribisha...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari zenu wadau, shemeji/wifi yenu anashindwa kupata ujauzito sababu ya hilo lidude kwa maelezo yake, yaan analalamika kuwa humchoma sana na kuunguruma siku ya 1 akiingia period na siku ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Tafadhali naomba mnisaidie mke wangu anapata shida. Mke wangu mimba iliharibika mwaka jana, damu nyingi ilimtoka. Baadae alianza kuumwa tumbo chini ya kitovu, Nyonga na Mgongo. Alipofanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Naomba kujua aina ya chakula au vyakula anavyotakiwa kula mtoto baada ya miezi 6 ukiacha uji.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Utangulizi : Kumkaribisha mtoto mchanga duniani huwajambo la furaha kwa familia. Lakini nchini Tanzania akina mama wengi wanaendelea kupoteza maisha yao wakati wa kujifungua. Vilevile watoto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
helo wadau nimepata janga la kuumwa na mbwa wa jirani, nimemuuliza jirani kama mbwa wake ilichomwa sindano, ya kinga, nimeambiwa alishachomwa. sasa wataalamu ningependa kujua kama kuna haja ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Anaitwa charles ana miaka 26 ni mwanafunzi wa ngazi ya stashahada na yuko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha SAUT mwanza. Tatizo lake ni kuwa na waswas na afya yake mana kafanya mchezo kuzama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nipeni tips za kuboost my confidense wakuu kesho nina presentation yang ya kwanza hapa chuo
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomben kujuzwa n nn knasababsha mimba kuwa kubwa haraka au kuonekana mapema tofauti na umbile la mtu, namaanisha labda kuna vyakula vnasababsha. Naomben msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Wana JF naombeni ushauri wenu..Meno yangu yameoza toka nikiwa mdogo sasa nina miaka 21 nachukia sana rangi ya meno yangu kwani sina uhuru ninapokuwa katika maongezi na watu nifanye nini yarudi...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Kuna rafiki angu wa karibu sana amepata tatizo anasema akiamka asbh anakuta kuna kama usaha kwenye kichwa cha uume wake ameenda hospital ameeambiwa mkojo mchafu akachomwa sindano na kuna vidonge...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Wakubwa naomba msaada. Mke wangu uke wake unadischarge maji maji mazito kidogo ambayo hayana harufu. Ana mimba ya miezi mitatu na nimekuwa kila nikikutana naye kimwili analalamika kuwashwa. Je...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom