Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Vemma Mangosteen nikirutubisho kisichomfano kwenye karne hii kilichotokana na uvumbuzi wakipekee na waajabu uliofanywa na madaktari bingwa na wanasayansi wazamivu kwenye fani ya tiba na afya...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Tunaweza kuwa tunalalamika kuwa Kansa ya Shingo ya Uzazi imeenea sana, pengine ikawa inasababishwa na wanaume. Najiuliza kama una vijidudu vya Kansa Ya Tezi Dume, alafu yale maji-ute...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wana jukwaa hilli. Je Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia? Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
habari wakuu mm na kamwili kadogo sana yan mwemmbamba so nahtaj kuongeza uzito naomben ushaur nitumie hzo dawa
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani kwa muda sasa huwa najiuliza huwa inakuwaje mtu unaenda hospital kupima, lkn dr anakwambia ati ugonjwa hauonekani, hivyo tiba hakuna. Lkn ukienda kwa watu wa tiba asilia unafanikiwa, hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni jinsi ya kiume tatizo langu kubwa ni juu ya mpenzi wangu. Kila tukimaliza kufanya mapenzi (sex) yeye hujihisi maumivu tumboni. Kwa anae fahamu hii inasababishwa na nini anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina hili tatizo la kuwashwa njia ya mkojo. Pia wakati wa kukojoa nina maumivu wakati fulani. Nielekezeni kwa urologist mzuri tafadhali
0 Reactions
54 Replies
19K Views
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je ni kwa Nini kuna siku mwanamke huyohuyo kuna siku anakuwa wa baridi siku zingine wa moto, NN kinasababisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Miezi ya hivi karibu, Makamu wa rais, Dk Mohammed Gharib Bilal alinikuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi maskini zinazoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Wana Jamii Forum wenzangu, ninawasihii tufanye check up za afya mara kwa mara, yaani Physical Check-Up. Hapa USA tunafanya kila mwaka. Kama kuna tatitzo la afya wanaweza kuwahi kutibu kabla hali...
8 Reactions
106 Replies
12K Views
Wakati wa tendo la ndoa nikiwahi mshindo wa kwanza(kumwaga), la pili sipati mpaka nikojoe mkojo na mengine yanayofuata Naomba ufafanuzi hali hii inasbabishwa na nini na nini tiba yake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu, habari zenu.? Me nimeshakua katika mahusiano na wanaume watatu. Sa kuna mmoja kati ya hao wakati wa tendo yan yupo dry. Hata ufanyeje hakuna maji maji (ute) yanayotoka kwenye uume. Je...
1 Reactions
60 Replies
33K Views
Nimepatwa na hofu hivi karibuni ninapokuwa nimekojoa mbegu za kiume baadae unafuata mkojo je tatizo hili linatokana na nini? Imetokea Mara mbili kwa interval ya wiki tatu
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau kwa wale madaktari au yeyote mwenye fani hii,nimegundulika nina pressure baada ya kupima mara tatu ktk siku tofauti 140/80,167/90 na163/90,nikapimwa ECG Imeonyesha normal.Daktari...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Mwili wako hutengeneza free radicals kutokana na mambo mbalimbali. Zinapozalishwa kwa kiwango kikubwa, seli na DNA huwa katika hatari. Moja ya njia bora kuulinda mwili wako na hatari hiyo...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu ni wazi tumeshuhudia watu wakiwa wamelala/sinzia wengine wanalala kwa kukoloma iwe kwenye daladala au kitandani au kwenye kochi popote pale je ni ka ugonjwa? Unakuta mtu kaachama mdomo nzi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wiki iliyopita nilikwenda hospitali ambayo ni private, ni baada ya kutojisikia vizuri kiafya, baada ya maelezo yangu ilionekana nipime Malaria (BS) pia dr akaandika na kipimo kingine...
0 Reactions
23 Replies
12K Views
Tarehe 25 dec 2014 kidole kilanza kuwasha na kujikuna.kuanzia siku iliyofuata kilianza kuwasha na kuuma sana mpaka leo rarehe 2 jan kilipooasuka nikiwa nimelala. Nini dawa sahihi? !hospittali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom